GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Inasemekana, kabla ya mwaka 1895, Cape Town ndio uliokuwa mji mkubwa wa Afrika Kusini. Lakini kugundulika kwa dhahabu miaka ya 1880's Johannesburg, kulifanya huo mji kukua kwa kasi na hatimaye kuupita Cape Town. Mpaka sasa ndiyo mji mkubwa kuliko yote Afrika Kusini, nafikiri!
Inawezekana mkoa wa Geita ukawa ndio unaoongoza kwa utajiri wa dhahabu nchini Tanzania. Na wenyewe utakuja kupiku miji ya Dar Es Salaam, Mwanza, na Arusha kama Johannesburg ilivyoipiku Cape Town?
Na, kwa kuwa Tanzania ni nchi ya 4 barani Afrika kwa utajiri wa dhahabu, inaweza kuja kuwa nchi tajiri kuliko zote Afrika Mashariki, labda, ukiiondoa Congo DRC?( DRC ina rasilimali nyingi sana).