Mkoa wa Geita utakuja kuwa "Johannesburg" ya Tanzania?

Inasemekana, kabla ya mwaka 1895, Cape Town ndio uliokuwa mji mkubwa wa Afrika Kusini. Lakini kugundulika kwa dhahabu miaka ya 1880's Johannesburg, kulifanya huo mji kukua kwa kasi na hatimaye kuupita Cape Town. Mpaka sasa ndiyo mji mkubwa kuliko yote Afrika Kusini, nafikiri!

Inawezekana mkoa wa Geita ukawa ndio unaoongoza kwa utajiri wa dhahabu nchini Tanzania. Na wenyewe utakuja kupiku miji ya Dar Es Salaam, Mwanza, na Arusha kama Johannesburg ilivyoipiku Cape Town?

Na, kwa kuwa Tanzania ni nchi ya 4 barani Afrika kwa utajiri wa dhahabu, inaweza kuja kuwa nchi tajiri kuliko zote Afrika Mashariki, labda, ukiiondoa Congo DRC?( DRC ina rasilimali nyingi sana).
ENdelea kuota ndoto za jua kali
 
Bablai geita ipi unayoizungumzia mimi Nimezaliwa geita nimekulia geita mwaka wa 24 huu nipo geita😂Sasa sjui Kas gani unayoisemea mzee wangu ungejua tunavosota mpka Leo hii geita bado tunatumia TV za vichogo how can your mji unakua kwa kasi umetumia kigezo kipi Aya magari plate number E yanahesabika

Tafadhali mkuu tuache kidogo "huku pesa inamilikiwa na wachache"
Mablue coast yanapita town kila siku ka joberg
 
Inasemekana, kabla ya mwaka 1895, Cape Town ndio uliokuwa mji mkubwa wa Afrika Kusini. Lakini kugundulika kwa dhahabu miaka ya 1880's Johannesburg, kulifanya huo mji kukua kwa kasi na hatimaye kuupita Cape Town. Mpaka sasa ndiyo mji mkubwa kuliko yote Afrika Kusini, nafikiri!

Inawezekana mkoa wa Geita ukawa ndio unaoongoza kwa utajiri wa dhahabu nchini Tanzania. Na wenyewe utakuja kupiku miji ya Dar Es Salaam, Mwanza, na Arusha kama Johannesburg ilivyoipiku Cape Town?

Na, kwa kuwa Tanzania ni nchi ya 4 barani Afrika kwa utajiri wa dhahabu, inaweza kuja kuwa nchi tajiri kuliko zote Afrika Mashariki, labda, ukiiondoa Congo DRC?( DRC ina rasilimali nyingi sana).
Wenyeji hawana mentality ya maendeleo licha ya mzunguko mkubwa wa fedha .
Mwishowe watabakia na mashimo kama ya Buzwagi sababu hawana la kufanyia fedha zaidi ya kula na starehe na vichangu doa vimeanza kuhamia huko na kuachana na wabunge Dodoma.
 
Geita - Manispaa, Nyalugusu, Nyalwanzaja, Katoro.
Mara - Nyamongo, Marera, Bunda, Kyabakari.
Shinyanga - Kahama, Masumbe, Ushirombo, Gem, Runzewe, Mwenda kulima, Kakola, Nyangalata, Nyakagwe, Segese
Mbeya - Chunya
Kote huko mtaachiwa mashimo kama Buhemba na Mwadui....
 
Wenyeji hawana mentality ya maendeleo licha ya mzunguko mkubwa wa fedha .
Mwishowe watabakia na mashimo kama ya Buzwagi sababu hawana la kufanyia fedha zaidi ya kula na starehe na vichangu doa vimeanza kuhamia huko na kuachana na wabunge Dodoma.
Wewe hata Geita sidhani kama ushaishi nasema hivyo kwa sababu najua watu wa Geita, Kasamwa ,Katoro na maeneo mengine walivyo wapambanaji!
Hata Mkoani kwako kuna uwezekano hakuna Business center kubwa na yenye vijana wenye pesa kama Katoro.
Unaposema mentally ya maendeleo unamaanisha nini?
Yaani watu wa Geita wasiwe na mentally ya maendeleo?
Tatizo la Geita ni serkali ya CCM sio Wananchi!
 
Back
Top Bottom