Mkoa wa Geita utakuja kuwa "Johannesburg" ya Tanzania?

Wamechangamka sana na skuizi hawaendi kujenga Mwanza wala Dar....
Vijana wanaijenga Geita kwa kasi na sooner inaenda kuungana na Kasamwa
Kwanza mkoa wa geita Una centre kama katoro ambayo kibiashara kwa ukanda ule inakimbiza sana anzia bwanga , buseresere na katoro palishaungana, geita na kasamwa nako kumeungana kosa la magufuli kubwa ni yale madude yote aliyojenga Chato stand, uwanja wa ndege na hospitali ya rufaa vilitakiwa viwe geita mjini mji ungepata watu wengi Sana
 
Inasemekana, kabla ya mwaka 1895, Cape Town ndio uliokuwa mji mkubwa wa Afrika Kusini. Lakini kugundulika kwa dhahabu miaka ya 1880's Johannesburg, kulifanya huo mji kukua kwa kasi na hatimaye kuupita Cape Town. Mpaka sasa ndiyo mji mkubwa kuliko yote Afrika Kusini, nafikiri!

Inawezekana mkoa wa Geita ukawa ndio unaoongoza kwa utajiri wa dhahabu nchini Tanzania. Na wenyewe utakuja kupiku miji ya Dar Es Salaam, Mwanza, na Arusha kama Johannesburg ilivyoipiku Cape Town?

Na, kwa kuwa Tanzania ni nchi ya 4 barani Afrika kwa utajiri wa dhahabu, inaweza kuja kuwa nchi tajiri kuliko zote Afrika Mashariki, labda, ukiiondoa Congo DRC?( DRC ina rasilimali nyingi sana).
Bablai geita ipi unayoizungumzia mimi Nimezaliwa geita nimekulia geita mwaka wa 24 huu nipo geita😂Sasa sjui Kas gani unayoisemea mzee wangu ungejua tunavosota mpka Leo hii geita bado tunatumia TV za vichogo how can your mji unakua kwa kasi umetumia kigezo kipi Aya magari plate number E yanahesabika

Tafadhali mkuu tuache kidogo "huku pesa inamilikiwa na wachache"
 
Kujengeka kwa uchumi, miji na miundombinu hakutegemei upatikanaji wa rasilimali tu bali zaidi utamaduni (fikra na matendo) ya wahusika.
Hizi fikra tegemezi na siasa za uchawa siyo rahisi zijenge bali wageni watachukua wakajenge kwao.
Ni lazima wananchi wazawa wamiliki uchumi wao kwanza ndipo yawepo maendeleo endelevu.
Uchumi wa nchi unamilikiwa na wageni au raia wa asili ya nje kwa asilimia kubwa huku weusi (wazawa walio wengi wakiachwa nyuma). Mapinduzi lazima yaanzie hapo kwanza.
 
Kujengeka kwa uchumi, mini na miundombinu hakutegemei upatikanaji wa rasilimali tu bali zaidi utamaduni (fikra na matendo) ya wahusika.
Hizi fikra tegemezi na siasa za uchawa siyo rahisi zijenge bali wageni watachukua wakajenge kwao.
Ni lazima wananchi wazawa wamiliki uchumi wao kwanza ndipo yawepo maendeleo endelevu.
Uchumi wa nchi unamilikiwa na wageni au raia wa asili ya nje kwa asilimia kubwa huku weusi (wazawa walio wengi wakiachwa nyuma). Mapinduzi lazima yaanzie hapo kwanza.
Exactly huku pesa wana miliki "mabwanyenye" neo-colonialism on duty
 
Kampuni gani ya ilikua inachimba dhahabu SA na ilikua inamilikiwa na makaburu? Nitajie moja tu. As far as I know; makampuni makubwa ya dhahabu duniani hayazidi 20 na yote ni from overseas/Abroad. Tofauti na serikali ya Africa kusini, Botswana kidogo na nchi kama Tanzania ni namna tulivouingia ubepari; tuliingia kifala sana. Magufuli alianza kwenda vizuri, wapuuzi sisi tukamdharau. Ile sheria ya madini aliokua anaitaka Magufuli ndio ilivo nchi za Kiarabu, Barrick wana migodi ya dhahabu Saudi Arabia, what Magufuli was doing was just copy and paste from Saudia; vichwa maji tuliokwenda shule kukariri vitabu vya watu badala ya kuvielewa tukamdharau. Tuishi tu
Unafananaisha Dhahabu iliyochimbwa na makaburu,ambao 90% walikua na uraia WA south africa na waliwekeza south Africa ........dhahabu ya Geita inamilikiwa na wa Canada/U.S na inawanufaisha wa U.S/Canada 98%...........yes Geita utakua mji wa kipekee Kwa kua na mashimo makubwa mno yatayoingia kwenye rekodi ya dunia
 
Bablai geita ipi unayoizungumzia mimi Nimezaliwa geita nimekulia geita mwaka wa 24 huu nipo geita😂Sasa sjui Kas gani unayoisemea mzee wangu ungejua tunavosota mpka Leo hii geita bado tunatumia TV za vichogo how can your mji unakua kwa kasi umetumia kigezo kipi Aya magari plate number E yanahesabika

Tafadhali mkuu tuache kidogo "huku pesa inamilikiwa na wachache"
Jamaa sijui anatuchukuriaje anatupiga kamba hadharani
 
Inawezekana mkoa wa Geita ukawa ndio unaoongoza kwa utajiri wa dhahabu nchini Tanzania. Na wenyewe utakuja kupiku miji ya Dar Es Salaam, Mwanza, na Arusha kama Johannesburg ilivyoipiku Cape Town?
Unasema hivyo ukiwa unakata kimba au?
 
Geita - Manispaa, Nyalugusu, Nyalwanzaja, Katoro.
Mara - Nyamongo, Marera, Bunda, Kyabakari.
Shinyanga - Kahama, Masumbe, Ushirombo, Gem, Runzewe, Mwenda kulima, Kakola, Nyangalata, Nyakagwe, Segese
Mbeya - Chunya
Mkuu.. Masumbwe, Ushirombo na Runzewe zipo mkoa wa Geita na sio Shinyanga.
Pia Mbeya umetaja chunya tu.. kuna sehemu kama Saza, Lupa, Mkwajuni baadhi ya sehemu za Totoe kote kuna dhahabu.
 
Back
Top Bottom