Mkoa wa Geita utakuja kuwa "Johannesburg" ya Tanzania?

ENdelea kuota ndoto za jua kali
 
Mablue coast yanapita town kila siku ka joberg
 
Wenyeji hawana mentality ya maendeleo licha ya mzunguko mkubwa wa fedha .
Mwishowe watabakia na mashimo kama ya Buzwagi sababu hawana la kufanyia fedha zaidi ya kula na starehe na vichangu doa vimeanza kuhamia huko na kuachana na wabunge Dodoma.
 
Geita - Manispaa, Nyalugusu, Nyalwanzaja, Katoro.
Mara - Nyamongo, Marera, Bunda, Kyabakari.
Shinyanga - Kahama, Masumbe, Ushirombo, Gem, Runzewe, Mwenda kulima, Kakola, Nyangalata, Nyakagwe, Segese
Mbeya - Chunya
Kote huko mtaachiwa mashimo kama Buhemba na Mwadui....
 
Geita vijijini, Geita wilayani, Geita mjini, Geita mashambani, Geita mashimo nk. Geita litabaki Geita hicho unachosema mtoa mada ni ndoto nyevu.
 
Wenyeji hawana mentality ya maendeleo licha ya mzunguko mkubwa wa fedha .
Mwishowe watabakia na mashimo kama ya Buzwagi sababu hawana la kufanyia fedha zaidi ya kula na starehe na vichangu doa vimeanza kuhamia huko na kuachana na wabunge Dodoma.
Wewe hata Geita sidhani kama ushaishi nasema hivyo kwa sababu najua watu wa Geita, Kasamwa ,Katoro na maeneo mengine walivyo wapambanaji!
Hata Mkoani kwako kuna uwezekano hakuna Business center kubwa na yenye vijana wenye pesa kama Katoro.
Unaposema mentally ya maendeleo unamaanisha nini?
Yaani watu wa Geita wasiwe na mentally ya maendeleo?
Tatizo la Geita ni serkali ya CCM sio Wananchi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…