Mkoa wa Geita utakuja kuwa "Johannesburg" ya Tanzania?

Ndio akili za watu wa CCM, Geita kwa sasa ikoje? Dhahahu si iko pale inachimbwa miaka na miaka?
 
Niliwaambia watu kuhusu hili wakanibishia sana, nchi imejaaa wajinga Mungu saidia
 
Wajitahidi kwanza kujenga vyoo bora halafu baadaye watafikiria kuwa Johannesburg ya Tanzania.
 
Kwa ile mikataba iliyoingiwa kipindi kile ya 3% kupewa Nchi usitegemee chochote zaidi ya kubakiziwa mapango !
Mwamba alisemaga tulishapigwa !
Akajitahidi kung’ang’ana aongezewe %
Ndio inasemekana ikafika 16% kama ni kweli !
Makinikia 😳🙄 ?!
 
Kwa kuwaza tu bila vitendo haiwezekani,dhibitini mapato yanayotakana na hiyo dhahabu kwanza...
 
Johannesburg umewahi kufika lakini? Vitu vingine mnatuchosha wenzenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…