Mkoa wa Iringa utolewe Nyanda za Juu Kusini na kupelekwa Kanda ya Kati iwe Pamoja na Dodoma na Singida

Sifa zipi? Kutoka Tabora Hadi Dom ni zaidi ya km 400 tofauti na kutoka Tabora kwenda Kigoma
Tabora Dodoma ni kati ya Kilometa 370 Kwa reli au 384 Kwa barabara wakati Tabora Kigoma ni Kilometa 420 Kwa barabara. Kutoka Tabora kwenda Kigoma ni mbali zaidi kuliko Tabora kwenda Dodoma. Tabora to Mwanza (354 Km) ni karibu zaidi kuliko Tabora- Dodoma (380Km) au Tabora -Kigoma ( 420Km)
 
Sijui SINGIDA, DODOMA, ni mikoa ya watu wavivu sana aise..

Iringa ibaki kwa wapambanaji nyanda za juu kusini 🤝🤝🤝.
 
Iringa Sio nusu jangwa wewe
 
Hapa ni hoja kwa hoja hakuna la kipumu wala waragi. Mujibuni kamanda wa vita vya kanda
 
Kimsingi upo sahihi na baadhi ya shughuli za kikanda sasa Iringa inaripoti kanda ya kati nafikiri hadi mwakani Iringa itakuwa rasmi kanda ya kati kwani serikali ipo kwenye mchakato huo wa mabadiliko. Ni kweli huduma nyingi za kikanda sasa za kiserikali zinafanyika Dodoma na hata isdue za kimatibabu sisi watu wa Iringa huwa watatupa refferal kwenda Dodoma. Mwanzo ilikuwa nyanda za juu kusini sababu ya mkoa ukubwa wa eneo uliojumuisha sasa mkoa wa Njombe so sasa ni vyema twende Dodoma japo tutamiss sana wamama wa kinyakyusa na kisafwa wa pale Mbeya.
 
Tabora dodoma 384 ...na tabora manyoni itakuwa km ngap [emoji15][emoji15][emoji15]...
 
Kwa Nini wasifanye hivi hapa kidogo Kuna mwingiliano tofauti na ilivyo Sasa mtu ukitoka songea hadi mbeya ni zaidi ya km 400 vilevile iringa km za kutosha mbeya ingehudumia mikoa ya songwe na rukwa katavi iende ukanda wa magharibi na ndio mfumo hata msd wanatumia kijiografia na kihistoria imekaa poa Maana hata kampuni zinazofanya safari ya songea mbeya ni chache mno ni hizi hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…