Mkoa wa Iringa utolewe Nyanda za Juu Kusini na kupelekwa Kanda ya Kati iwe Pamoja na Dodoma na Singida

Unavopandisha kitonga kuitafuta vzr iringa ndio utajua iringa ni nyanda za juu...
 
Tungefahamu vigezo vya kuweka mikoa Katika kanda moja, tungeweza kushauri zaidi. Kama ni kigezo Cha ujirani basi iringa iwe kanda ya kati.
 
Tupambane bandari kwanza mzee hizi kanda zipo tu kwenye namna kijografia haina athari yoyote kiutendaji
 
bandari hata wakilazimisha historia itawahukumu. though wengi wao watakuwa mavumbini manake umri wao umeenda sana, tujiandae tu kupora mali toka kwa watoto wao walizotuibia na kuwaachia. hata wao wenyewe hapo wanajijua hawana hata 20 years ahead.
 
Nimeona umejitahidi sanaa kutuaminisha, ila maoni yangu ni Big No...mfano sababu yako ya 4, yaan iringa iitegemee Dodoma kwa mahitaji yake ? Are you serious ? Yaan limkoa kama iringa ivi lina zalisha tons za mahindi +alizeti +nyanya na mazao mengine kibao ...
 
Wewe ndio una shida kubwa sana ,Kwa hiyo Serikali Inajenga logistics centre pale Dom ya bidhaa mbalimbali,Kwamba mtaacha kwenda kujumua mzigo utakaoletwa na Sgr badala yake mtasafiri km 500 kwenda Dar kujumua the same mzigo?

Hata Sasa Iringa inategemea Dom Kwa bidhaa kibao kama soko la mbao,mahindi ya Kibaigwa,soko la nyanya za Iringa ,Huduma za Afya yaani hospital ya Kanda Benjamin Mkapa nk nk..

Ni hivi Iringa Haina faida kwepo Nyanda za Juu Kusini Kwa sababu hatuna maingiliano makubwa,yaani gar za Njombe-Mbeya,Njombe-Songwa ni nyingi kuliko Njombe-Iringa..

Kwa upande mwingine ukienda Iringa hata saa 4 unapata Costa za Dom ndio kusema Iringa inahusiaja zaidi na Dodoma kuliko Mikoa yetu.
 
Ww kwa taaluma yako unafikiri mziho utakao safirishwa na sgr charges zake ni sawa na mzigo jtakao safiri na roli ?
 
Ww kwa taaluma yako unafikiri mziho utakao safirishwa na sgr charges zake ni sawa na mzigo jtakao safiri na roli ?
Sasa hata hili huelewi? Hili ni la kuuliza? Hujawahi sikia kwamba gharama za usafiri zitashuka by half Kwa kutumia reli badala ya Malori?
 
Sasa hata hili huelewi? Hili ni la kuuliza? Hujawahi sikia kwamba gharama za usafiri zitashuka by half Kwa kutumia reli badala ya Malori?
Kama unafikiri ivyo andika Zero ... Yaan investment ya sgr bei yake eti iwe nafuu ? Never ever.... Ungefuatilia tu zile bei ziliO pendekezwa na TRC ndio akili yako ijionhezee je kwa cargo itakuwaje ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…