Mkoa wa Kagera na Ufukara

Mkoa wa Kagera na Ufukara

Hii dhana Yako Iko sawa kabisa Kwa muktadha wa Mikoa ambayo Ina migodi mikubwa kama Shinyanga,Geita na Mara.

Hata hivyo Mkoa kama Kagera una Hali ya hewa nzuri Kuliko Mikoa Mingi Kwa nini Watu wake wasijihusishe Kwa kilimo kama Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini ambayo Haina Cha migodi Wala uwekezaji wowote wa Serikali lakini Iko Juu kwenye list Kwa kazi za Kilimo tuu.

Kwa hiyo hakuna excuses hapa,nyie ni wavuvi mdomo umezidi.

Mwisho kabisa Serikalini iwe na formula ya kugawa rasilimali za Taifa Kwa usawa,hii tabia ya kujenga Dar,Dom,Arusha na Mwanza pekee Kwa pesa za Mikoa mingine ikome mara Moja.Mimi Huwa naandika mada za kupinga hili ila Huwa mnaniona mjinga.
Unaruka ruka tu lakini bado huko kusini mnasaidiwa na migodi mfano Chunya huko pamoja na utalii kama ilivyo kaskazini
 
EBU TUSIONGEE SANA KISHABIKI:
*Hivi kuna miradi gani mikubwa kule ya uwekezaji toka serikalini au Sekta binafsi?
*Je shughuli za uchumi za eneo lile ni zipi?
*Je kuna miundombinu ya kutosha ku sapoti kazi za kiuchumi?
 
Shinyanga hii ambayo nyumba za tembe zimetapakaa au kuna Shinyanga nyingine??
Acha kutudanganya kila mtu anaenda na anapita shinyanga! nyamba mbovu haziwezi kuisha zote! Ila ukianzia Tinde,Kagongwa,Isaka,Kahama Msalala ,Kakola nk wewe umeona nyumba za tembe? Acha uongo kaka! Uchumi wa wilaya kama Kahama wanauumiliki wengi ni wafanya biashara na wachimbaj wadogo ambao kwa sehemu kubwa ni Wasukuma na wahamiaji kiasi!
 
Unaruka ruka tu lakini bado huko kusini mnasaidiwa na migodi mfano Chunya huko pamoja na utalii kama ilivyo kaskazini
Wewe toa ujinga wako hapa,Mbeya Kuna migodi gani ya maana? Kama Chunya Kuna migodi Kwa nini haiwezi kama Kahama au Geita?

Chunya Ina wachimbaji wadogo wadogo ,Utalii gani ulioko Nyanda za Juu? Tuna Hifadhi ila hakuna mtu anahangaika kuuweka sawa.

Nyie ni mavivu na domo domo sana mnataka color jobs matokeo yake ndio hayo.

Hata hivyo vijumba mumejenga ni wale wako Nje ya Mkoa ila havina impacts yeyote kwenye uzalishaji.
 
Hii dhana Yako Iko sawa kabisa Kwa muktadha wa Mikoa ambayo Ina migodi mikubwa kama Shinyanga,Geita na Mara.

Hata hivyo Mkoa kama Kagera una Hali ya hewa nzuri Kuliko Mikoa Mingi Kwa nini Watu wake wasijihusishe Kwa kilimo kama Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini ambayo Haina Cha migodi Wala uwekezaji wowote wa Serikali lakini Iko Juu kwenye list Kwa kazi za Kilimo tuu.

Kwa hiyo hakuna excuses hapa,nyie ni wavuvi mdomo umezidi.

Mwisho kabisa Serikalini iwe na formula ya kugawa rasilimali za Taifa Kwa usawa,hii tabia ya kujenga Dar,Dom,Arusha na Mwanza pekee Kwa pesa za Mikoa mingine ikome mara Moja.Mimi Huwa naandika mada za kupinga hili ila Huwa mnaniona mjinga.
Umewahi kusikia kagera imepelekewa mahindi ya msaada ?
 
Wewe toa ujinga wako hapa,Mbeya Kuna migodi gani ya maana? Kama Chunya Kuna migodi Kwa nini haiwezi kama Kahama au Geita?

Chunya Ina wachimbaji wadogo wadogo ,Utalii gani ulioko Nyanda za Juu? Tuna Hifadhi ila hakuna mtu anahangaika kuuweka sawa.

Nyie ni mavivu na domo domo sana mnataka color jobs matokeo yake ndio hayo.

Hata hivyo vijumba mumejenga ni wale wako Nje ya Mkoa ila havina impacts yeyote kwenye uzalishaji.
[emoji1787][emoji1787] Punguza hasira kijana kumbe umekubali watu wa Kagera wana ela hadi wamejenga nyumba mpaka unaona wivu
 
Wewe toa ujinga wako hapa,Mbeya Kuna migodi gani ya maana? Kama Chunya Kuna migodi Kwa nini haiwezi kama Kahama au Geita?

Chunya Ina wachimbaji wadogo wadogo ,Utalii gani ulioko Nyanda za Juu? Tuna Hifadhi ila hakuna mtu anahangaika kuuweka sawa.

Nyie ni mavivu na domo domo sana mnataka color jobs matokeo yake ndio hayo.

Hata hivyo vijumba mumejenga ni wale wako Nje ya Mkoa ila havina impacts yeyote kwenye uzalishaji.
Mwambie huyo kama anasingizia Migodi mbona kuna wenye migodi hawana hali ya hewa kama ya kwao kwa ajili ya kilimo mbona wamewazidi! Haya majitu ni mazembe na majuaji!
 
Kwa nini na nyie mnahesabu ela za makampuni kama zenu wakati mifukoni mmechoka???
Kwa nini makampuni hayaji kwenu? Nyanda za Juu Kusini Kuna makampuni ya Wazawa unadhani ni Shinyanga kule? Au Geita Kwa mzungu?

Kama haupo top 10 au hujafikisha 2.8mln wewe ni maskini tuu
20231012_091652.jpg
20231012_091652.jpg
 
Toa ushauri zao la biashara ni kahawa haitakiwi kuuza nje ya mipaka, ndizi bukoba zilipatwa mnyauko,toa njia mbadala mtaalam wa uchumi
Wapi mlizuiwa kuuza Nje ya mipaka? Na kwanj Kuzuia kuuza Nje ya mipaka ndio kunazuia pesa? Mbona Kusini wanauza korosho stakabadhi ghalani na pesa wanapata?

Mwisho hakuna njia mbadala kama watu wanaweza kuajiriwa kuliko kufanya kazi za uzalishaji,mtaishia hivyo hivyo mnataka kusoma
 
Mleta mada hujawahi kutembea! Ulishawahi kwenda na kuona maisha ya watu wa shinyanga ndani ndani au hata viunga vya mji wa shinyanga? Nenda utaniletea mrejesho! Makusanyo ya kodi (TRA) ya shinyanga yanatokana na wingi wa kodi ya migodi. Hela ya migodi haiingii mikononi mwa wananchi inaenda mojakwamkoja katika kapu la serikalini na inakwenda kujenga miundombinu katika mikoa yenye ushawishi wa utashi wa kisiasa na kuacha hali ya maisha ya watu wa shinyanga wakiwa fukara! Wakileta takwimu wanasema shinyanga hiko juu lakini angalia wananchi wake hoi taabani! Mkoa wa kagera tangu henzi za mwalimu serikali haijawahi kuwekeza! Sasa itachuma mahali ambapo hawajawekeza? Wahaya walijitahidi na wanajitahidi kadri ya uwezo wao kutumia kidogo walichonacho kusapoti watu wao! Kwataarifa yako hicho kidogo kinachoonekana serikali inakipata kinatokana na shughuri za moja kwa moja za wanakagera sio makampuni au taasisi kubwa zinazohodhi uchumi na kuwaacha wananchi fukara! Nikuulize tena swali hapa jukwaani! Kila mtu aangalie mtaani kwake ni wahaya wangapi masikini? Wahaya ni kabila lililojuu katika hali bora ya maisha na wanakimbizana na wachaga!
Mtaani kwangu wahaya ndio wanaongoza kwa umaskini.
 
Back
Top Bottom