Mkoa wa Kagera na Ufukara

Unaruka ruka tu lakini bado huko kusini mnasaidiwa na migodi mfano Chunya huko pamoja na utalii kama ilivyo kaskazini
 
EBU TUSIONGEE SANA KISHABIKI:
*Hivi kuna miradi gani mikubwa kule ya uwekezaji toka serikalini au Sekta binafsi?
*Je shughuli za uchumi za eneo lile ni zipi?
*Je kuna miundombinu ya kutosha ku sapoti kazi za kiuchumi?
 
Shinyanga hii ambayo nyumba za tembe zimetapakaa au kuna Shinyanga nyingine??
Acha kutudanganya kila mtu anaenda na anapita shinyanga! nyamba mbovu haziwezi kuisha zote! Ila ukianzia Tinde,Kagongwa,Isaka,Kahama Msalala ,Kakola nk wewe umeona nyumba za tembe? Acha uongo kaka! Uchumi wa wilaya kama Kahama wanauumiliki wengi ni wafanya biashara na wachimbaj wadogo ambao kwa sehemu kubwa ni Wasukuma na wahamiaji kiasi!
 
Unaruka ruka tu lakini bado huko kusini mnasaidiwa na migodi mfano Chunya huko pamoja na utalii kama ilivyo kaskazini
Wewe toa ujinga wako hapa,Mbeya Kuna migodi gani ya maana? Kama Chunya Kuna migodi Kwa nini haiwezi kama Kahama au Geita?

Chunya Ina wachimbaji wadogo wadogo ,Utalii gani ulioko Nyanda za Juu? Tuna Hifadhi ila hakuna mtu anahangaika kuuweka sawa.

Nyie ni mavivu na domo domo sana mnataka color jobs matokeo yake ndio hayo.

Hata hivyo vijumba mumejenga ni wale wako Nje ya Mkoa ila havina impacts yeyote kwenye uzalishaji.
 
Umewahi kusikia kagera imepelekewa mahindi ya msaada ?
 
[emoji1787][emoji1787] Punguza hasira kijana kumbe umekubali watu wa Kagera wana ela hadi wamejenga nyumba mpaka unaona wivu
 
Mwambie huyo kama anasingizia Migodi mbona kuna wenye migodi hawana hali ya hewa kama ya kwao kwa ajili ya kilimo mbona wamewazidi! Haya majitu ni mazembe na majuaji!
 
Kwa nini na nyie mnahesabu ela za makampuni kama zenu wakati mifukoni mmechoka???
Kwa nini makampuni hayaji kwenu? Nyanda za Juu Kusini Kuna makampuni ya Wazawa unadhani ni Shinyanga kule? Au Geita Kwa mzungu?

Kama haupo top 10 au hujafikisha 2.8mln wewe ni maskini tuu
 
Toa ushauri zao la biashara ni kahawa haitakiwi kuuza nje ya mipaka, ndizi bukoba zilipatwa mnyauko,toa njia mbadala mtaalam wa uchumi
Wapi mlizuiwa kuuza Nje ya mipaka? Na kwanj Kuzuia kuuza Nje ya mipaka ndio kunazuia pesa? Mbona Kusini wanauza korosho stakabadhi ghalani na pesa wanapata?

Mwisho hakuna njia mbadala kama watu wanaweza kuajiriwa kuliko kufanya kazi za uzalishaji,mtaishia hivyo hivyo mnataka kusoma
 
Mtaani kwangu wahaya ndio wanaongoza kwa umaskini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…