Mkoa wa Kagera na Ufukara

Sana yaani majigambo na ujinga mtupu wa kuongea kizungu
So kwa kuwa kagera ina per capital ndogo ndo wahaya wasifnye sherehe na kusomesha watoto wao shule nzr...

Wivu huu
 
Hizo Gorofa 700 plus ni za Mkoa mzima sio Bukoba

Pili Morogoro nayo Iko kwenye Mikoa maskini tuu japo Ina gorofa kuzidi hata Mbeya.

Wahaya walioko Mikoa mingine kazini wanashindana kujenga majumba ya gorofa Vijijini kwao ila hayazalishi.
We si umesema wamesoma ila hawana ela [emoji1787][emoji1787] acha kujikanyaga
 
kwani google mnatumia kuangalia x?Marekani kwa utajiri kwa muktadha unaoongelewa hapa,HAONGOZI,kazidiwa na kina luxembourg,qatar
Anakurupuka per capital sio kigezo pekee cha kusema watu wa eneo fulani ni maskini na wengine ni matajiri kwa sababu inaamisha pesa za tajiri mmoja na kumpatia maskini ili aonekane nae ni tajiri
 
Sema mwamba wewe ni Mzalendo kwelikweli na wapenda kwenu kwelikweli...
[emoji108][emoji108]
Waache waendelee kusema wahaya wahaya..

Bukoba ndo inazidi kupaa hiyo .
Sasa kunajengwa Dual carriageway km 5.1...
Kunajengwa bandari mpya na port terminal
Mv mwanza mbioni kuanza safari za bukoba na mwanza
Airport ya bukoba inajengewa vip terminal na kuwekewa taa za kuongoza ndege
Bukoba kunajengwa vyuo vikuu viwili...udsm tawi la bukoba na Nelson Mandela ujenzi unaendelea
Bukoba kunajengwa stendi kuu ya daladala
Na mwakani stendi kuu ujenzi unaanza

Na mambo mengine mengi tu...
Ukiondoa Dodoma na Dar ni mkoa gani wenye miradi yote hii kwa wakati mmoja

Wapo hapa wanawacheka wahaya ( ambao wako wanaistimulate serikali kuwekeza kagera na kuijenga Bukoba)
Ukiangalia wengi mikoani kwao ni majanga tu...ukiachana stendi zilizojengwa na magu hakuna kinachoendelea kwenye mikoa yao...wengine hado vijijini kwao hakuna shule kabisa...wako waibeza kagera yenye shule zaidi ya 1000...

Bukoba at least matatizo yake ni matatu stendi, soko, na barabara kuchoka...

Lakin kuna miji mingine hata barabara za mitaa haina...watz wengi ni wajinga sana...mtu anarefer dar kulinganisha Bukoba sio mkoani kwake...mtu kwao ni njombe, musoma, simiyu, kigoma, mtwara, morogoro, moshi, singida, lindi nk...yupo hapa kuicheka Bukoba wakati kiuhalisia Bukoba inaedelea kwasi...Tazama mbeya jiji..kuna barabara moja tu na mataa sehemu moja tu..yuko hapa anaicheka Bukoba yenye mataa ya kuongoza magari sehemu zaidi ya tano na wala sio jiji
 
Mbona takwimu kama hiz sizioni?
 
Nimewahi kufika Kagera mwaka jana, lakini nitakuwa mtu wa mwisho kuamini Kagera inazidiwa na Singida, Njombe, Mtwara, Lindi, Katavi n.k
Njombe sio maskini wewe na population ya Njombe ni laki 8 tu kuna mazao.mengi sana ya misitu kama mbao na magogo. Kuna mazao ya lilimo pia madini ya mkaa wa mawe na chuma.. Njombe hakuna nyumba ya udongo
 
Very contradictory statement watu wanakuwaje na pesa kama hamna uwekezaji?
 
Very contradictory statement watu wanakuwaje na pesa kama hamna uwekezaji?
Utetezi wako ni dhaifu sana kaisiki. Umaskini unapimaje mtaani kwako?based on tribal affiliations ?! Karudie go do some research instead of reading comic novels. Hizi ni tafiti sio maneno ya kanga ziko based kwa wilaya kata na mikoa sio makabila kwani kagera wanakaa wahaya pekee?
Facts mkoa ni maskini kwa sababu zifuatazo
1.An agrarian region ( no industry at all)
2. Poor logistics district don't have good road networks and the region isn't well connected to other regions.
3. Transport across lake Victoria is unreliable.
4. Local people lack enterprise character
5. Surrounded by Agrarian countries Rwanda and uganda
Don't have much to offer.
6. Lack of economic diversity
 
Tatizo mnadaka topic bila kujisomea kujua mambo, hicho kipimo cha per capital hakiwezi kuidhinisha hali ya uchumi wa watu wote wa eneo husika na ndo maana China na Marekani haziongozi kwenye kipimo hicho japo zina uchumi mkubwa
Utetezi hafifu,mbona likija jambo zuri kwa mkoa WA Kagera ninyi wahaya mnawahi siti za mbele?
Hamna uchumi nyie,igeni kwa Wachaga wajanja wameshika vyote Elimu na uchumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…