Sema mwamba wewe ni Mzalendo kwelikweli na wapenda kwenu kwelikweli...
[emoji108][emoji108]
Waache waendelee kusema wahaya wahaya..
Bukoba ndo inazidi kupaa hiyo .
Sasa kunajengwa Dual carriageway km 5.1...
Kunajengwa bandari mpya na port terminal
Mv mwanza mbioni kuanza safari za bukoba na mwanza
Airport ya bukoba inajengewa vip terminal na kuwekewa taa za kuongoza ndege
Bukoba kunajengwa vyuo vikuu viwili...udsm tawi la bukoba na Nelson Mandela ujenzi unaendelea
Bukoba kunajengwa stendi kuu ya daladala
Na mwakani stendi kuu ujenzi unaanza
Na mambo mengine mengi tu...
Ukiondoa Dodoma na Dar ni mkoa gani wenye miradi yote hii kwa wakati mmoja
Wapo hapa wanawacheka wahaya ( ambao wako wanaistimulate serikali kuwekeza kagera na kuijenga Bukoba)
Ukiangalia wengi mikoani kwao ni majanga tu...ukiachana stendi zilizojengwa na magu hakuna kinachoendelea kwenye mikoa yao...wengine hado vijijini kwao hakuna shule kabisa...wako waibeza kagera yenye shule zaidi ya 1000...
Bukoba at least matatizo yake ni matatu stendi, soko, na barabara kuchoka...
Lakin kuna miji mingine hata barabara za mitaa haina...watz wengi ni wajinga sana...mtu anarefer dar kulinganisha Bukoba sio mkoani kwake...mtu kwao ni njombe, musoma, simiyu, kigoma, mtwara, morogoro, moshi, singida, lindi nk...yupo hapa kuicheka Bukoba wakati kiuhalisia Bukoba inaedelea kwasi...Tazama mbeya jiji..kuna barabara moja tu na mataa sehemu moja tu..yuko hapa anaicheka Bukoba yenye mataa ya kuongoza magari sehemu zaidi ya tano na wala sio jiji