Mkoa wa KIigoma ni wilaya gani yenye baridi kwa mwaka mzima

Mkoa wa KIigoma ni wilaya gani yenye baridi kwa mwaka mzima

anthopody

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2024
Posts
262
Reaction score
183
Wenyeji wa KIGOMA naombeni kufahamishwa maeneo yenye hali ya hewa ya ubaridi kwa mwaka mzima Ili nikaishi huko

Lengo langu ni kuwekeza kwenye kilimo kuanzia heka 100 na zaidi,eneo liwe Lina ardhi yenye rutuba kwa kilimo Cha parachichi,ufugaji n k

Pia maeneo yanayouzwa mashamba na sifa zake za hali ya hewa na ardhi,hususani maeneo yenye kijani mwaka mzima

Hasa buhigwe,Kasulu,uvinza na Kibondo,wenyeji naombeni ufafanuzi wa kina
 
Buhigwe Sehemu Inaitwa Nyankolonko
Kahawa , Nanasi, Migomba, Haina Maana Kama Mlima Kilimanjaro Kule Mweka
 
Buhigwe Sehemu Inaitwa Nyankolonko
Kahawa , Nanasi, Migomba, Haina Maana Kama Mlima Kilimanjaro Kule Mweka
Pia parachichi inastawi vizuri vipi bei ya mashamba bhaguza zingahe?
 
Parachichi Inamea Sana, Passion
Niliondoa Mkoa Huo 2015 Sasa Hivi Sijui Bei Zipoje
 
Sasa mkuu mbona unaonekana wewe ndiye uneijua Kigoma nje ndani kuliko unaowauliza?

Na lugha kabisa inapanda naona.
Sahihi,Nina muda sijafika huko,naiona kupitia majukwaa ya kijamii ila nataka nikajenge kwetu sasa
 
Hakuna wilaya nzima mkoani kigoma ambayo hali yake ya hewa ni baridi mwaka mzima. Ila kuna baadhi ya maeneo ndani ya wilaya ya buhigwe huwa na vipindi vya baridi (mpaka barafu muda mwingine).
 
Hakuna wilaya nzima mkoani kigoma ambayo hali yake ya hewa ni baridi mwaka mzima. Ila kuna baadhi ya maeneo ndani ya wilaya ya buhigwe huwa na vipindi vya baridi (mpaka barafu muda mwingine).
Maeneo yapo yanayouzwa kwa makazi heka bei gani kama unafahamu?
 
Back
Top Bottom