Nakubusu
JF-Expert Member
- Nov 3, 2022
- 856
- 2,076
nenda kasulu kuna baridi na mvua za kutoshaWenyeji wa KIGOMA naombeni kufahamishwa maeneo yenye hali ya hewa ya ubaridi kwa mwaka mzima Ili nikaishi huko
Lengo langu ni kuwekeza kwenye kilimo kuanzia heka 100 na zaidi,eneo liwe Lina ardhi yenye rutuba kwa kilimo Cha parachichi,ufugaji n k
Pia maeneo yanayouzwa mashamba na sifa zake za hali ya hewa na ardhi,hususani maeneo yenye kijani mwaka mzima
Hasa buhigwe,Kasulu,uvinza na Kibondo,wenyeji naombeni ufafanuzi wa kina