Asante sana,vp wilaya zingineBuhigwe kwa makamu wa raisi. Sio wilaya yote ni maeneo tu kama ilivyo huku kwetu tarime. Karibu mkuu
Kilimo ufugaji kasulu patakufaa. Ushauri kwanini usinse katavi/sumbawanga?Asante sana,vp wilaya zingine
Katavi kwa Nini,naomba ufafanuzi kwa hiliKilimo ufugaji kasulu patakufaa. Ushauri kwanini usinse katavi/sumbawanga?
Maweeeee,jewe ngomba kugaluka muhila kwa wavyei wanjeBuhigwe Sehemu Inaitwa Nyankolonko
Kahawa , Nanasi, Migomba, Haina Maana Kama Mlima Kilimanjaro Kule Mweka
Pia parachichi inastawi vizuri vipi bei ya mashamba bhaguza zingahe?Buhigwe Sehemu Inaitwa Nyankolonko
Kahawa , Nanasi, Migomba, Haina Maana Kama Mlima Kilimanjaro Kule Mweka
BuhigweManyovu iko wilaya ipi?
Zinamea SanaPia parachichi inastawi vizuri vipi bei ya mashamba bhaguza zingahe?
Parachichi Inamea Sana, Passion
Niliondoa Mkoa Huo 2015 Sasa Hivi Sijui Bei Zipoje
Ndabhaheza mwiliwe bhanya KIGOMA
Maweeeee,jewe ngomba kugaluka muhila kwa wavyei wanje
Sasa mkuu mbona unaonekana wewe ndiye uneijua Kigoma nje ndani kuliko unaowauliza?Buhigwe
Mkoa umefunguka sana fursa zipo kibao ngoja mwezi wa nane nikatembee wilaya zoteZinamea Sana
Anzia Uvinza Ufike Katoto Wanakoishi Watusi TuMkoa umefunguka sana fursa zipo kibao ngoja mwezi wa nane nikatembee wilaya zote
Sahihi,Nina muda sijafika huko,naiona kupitia majukwaa ya kijamii ila nataka nikajenge kwetu sasaSasa mkuu mbona unaonekana wewe ndiye uneijua Kigoma nje ndani kuliko unaowauliza?
Na lugha kabisa inapanda naona.
Asante sana,naombeni support yenu sana sanaAnzia Uvinza Ufike Katoto Wanakoishi Watusi Tu
Halafu Kasulu, Buhingwe, Kibondo, Kakonko
Maeneo yapo yanayouzwa kwa makazi heka bei gani kama unafahamu?Hakuna wilaya nzima mkoani kigoma ambayo hali yake ya hewa ni baridi mwaka mzima. Ila kuna baadhi ya maeneo ndani ya wilaya ya buhigwe huwa na vipindi vya baridi (mpaka barafu muda mwingine).