The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Shida ya Mbeya ni udongo wao ule hauko compatible kabisa na teknolojia ya barabara inayotumika sasa.Ni jambo zuri sasa ni wakati wakutengeneza barabara za mitaa za jiji maana zinahali mbaya sana, siyo mbaya wakienda kujufunza jiji la Mwanza. Mwanza pamoja na kuwa na changamoto za miamba ila barabara za mitaa kwa kiasi fulani wamejitahidi kuzijenga.
Sio 45bln ilikuwa 42bln ,soma hii attachment πLengo la Mkoa mzima ndio tsh 45 bil tu?
Ndogo?Lengo la Mkoa mzima ndio tsh 45 bil tu?
Yes, baridi nayo ni kali,Hongera sana, ila waboreshe mji, maana wana mji ambao hauna miundo mbinu. Barabara moja tu ya kupitisha malori ya kwenda Zambia, daladala za Uyole - soko matola, bajaji, bodaboda. Yaani ni shidaa.
Waende Arusha na Mwanza wakajifunze. Mitaa ya Mwanza ina barabara bora sana.
Kwa Mbeya ninayoifahamu ni ndogo!Ndogo?
Shida ya Mbeya ni uongo huo hauko compatible kabisa na teknolojia ya barabara inayotumika sasa..
Yaani ukijenga tuu haichukui round lazima iharibike.
Japo kuwa Mbeya tunatengwa sana na serikali lakini tumekubali kujiendesha wenyewe na watakoma.
Haiwezekani eti mbeya hakuna fly over pale mafuat na uyole (hayo maeneo ni lazima fly over ziwepo)
Kwa asilimua kuba majengo yote makubwa unayoyaona mbeya tumeyajenga raia wenyewe bila mkono wa serikali(Ndiyo si wametutenga?)
Huku tukuyu tukigoma kuleta ndizi huko kwenye mafly over hakina nawaambia watakusanya kodi kwenye hizo hizo fly over zao.
Na tuna mpango wa kuanzisha serikali yetu tusiingiliane na mkoa wowote ule tanzania maana kila kitu tunacho "What else?"
MBEYA CITY STAND UP.
Barabara za mitaani ndio mbovu zaidi kuliko HighwayMalori yale ni mazito sana. Yalitakiwa yawe na barabara nyingine.
Kila kitu kinaenda kwa Malengo na mipango ya Serikali..Kwa Mbeya ninayoifahamu ni ndogo!
Kwa hiyo nyie mnataka kujitenga siyoJapo kuwa Mbeya tunatengwa sana na serikali lakini tumekubali kujiendesha wenyewe na watakoma.
Haiwezekani eti Mbeya nzima hakuna fly over pale Mafiat na Uyole (hayo maeneo ni lazima fly over ziwepo mpaka mbalizi kule wajenge fly over).
Eti leo hii dodoma ni kuzuri kuliko Mbeya si ni matusi haya?
Kwa asilimia kubwa majengo yote makubwa unayoyaona Mbeya tumeyajenga raia wenyewe bila mkono wa serikali(Ndiyo si wametutenga?)
Huku Tukuyu tukigoma kuleta ndizi, Maparachichi, Mchele sijui huko wanakuita mjini watashindia madafu au vipi..!!!
Huko kwenye mafly over hakika nawaambia watakusanya kodi kwenye hizo hizo fly over zao (Maana wanavyopita juu kule eti wanapiga na picha)
Tuna ziwa letu Matema Beach pale tunakula samaki wa kila aina "What else?"
Ganja tunavuta ya Mlima Rungwe na malawi hatuhitaji ya mikoani "What else?"
Na tuna mpango wa kuanzisha serikali yetu tusiingiliane na mkoa wowote ule tanzania maana kila kitu tunacho "What else?"
MBEYA CITY STAND UP.
Tatizo umejifungia maporini hivyo vitu vinavyopatikana tukuyu vinapatikana Tanzania nzima?Japo kuwa Mbeya tunatengwa sana na serikali lakini tumekubali kujiendesha wenyewe na watakoma.