Japo kuwa Mbeya tunatengwa sana na serikali lakini tumekubali kujiendesha wenyewe na watakoma.
Haiwezekani eti Mbeya nzima hakuna fly over pale Mafiat na Uyole (hayo maeneo ni lazima fly over ziwepo mpaka mbalizi kule wajenge fly over).
Eti leo hii dodoma ni kuzuri kuliko Mbeya si ni matusi haya?
Kwa asilimia kubwa majengo yote makubwa unayoyaona Mbeya tumeyajenga raia wenyewe bila mkono wa serikali(Ndiyo si wametutenga?)
Huku Tukuyu tukigoma kuleta ndizi, Maparachichi, Mchele sijui huko wanakuita mjini watashindia madafu au vipi..!!!
Huko kwenye mafly over hakika nawaambia watakusanya kodi kwenye hizo hizo fly over zao (Maana wanavyopita juu kule eti wanapiga na picha)
Tuna ziwa letu Matema Beach pale tunakula samaki wa kila aina "What else?"
Ganja tunavuta ya Mlima Rungwe na malawi hatuhitaji ya mikoani "What else?"
Na tuna mpango wa kuanzisha serikali yetu tusiingiliane na mkoa wowote ule tanzania maana kila kitu tunacho "What else?"
MBEYA CITY STAND UP.