Mkoa wa Mbeya Wavunja rekodi ya Makusanyo ya Mapato kwa asilimia 105% Mwaka 2021/2022

😀😀 sina cha kukujibu kutokana na imani yako. Ungefuatilia vizuri huenda zingefika hata makusanyo ya 150% kutokana na mfumko mkali wa bei. Hapo bado makusanyo ni ya chini sana.
Mfumuko wa bei unaongeza rates za ushuru uliopangwa?

Hoja yako haina mashiko kwa sababu Makisio yamewekwa na yanakusanywa kutoka kwenye rates zilizoidhinishwa sasa mfumuko wa bei unaingiaje hapo?
 
Nawasalimu kwa jina la JMT, natumai Kazi zinaendelea.

Mkoa wa Mbeya umevunja rekodi ya Makusanyo yake ya mapato ya ndani Kwa Halmashauri zake 7 Kwa kukusanya bil.45 sawa na zaidi ya asilimia 105.6% ya malengo.

Hayo yameelezwa na Mkuu wa Mkoa was Mbeya Juma Homela kwa Waandishi wa Habari na kuzipongeza Halmashauri za Mkoa huo pamoja na Sektetatieti ya Mkoa ikiongizwa na RAS wa Mbeya.

Kila Halmashauri imevuka malengo waliyopangiwa na Serikali hivyo kuziwezesha kutoa huduma na kutekelezwa Kwa miradi iliyopangwa kwa asilimia 100.

My Take:

Hii ndio maana Halisi Sasa ya Kufungua Nchi na Sasa matunda yanaonekana baada ya biashara mpya kuzidi kufunguliwa.

Hongera sana kwa serikali ya Rais Samia.[emoji116]
Kwa hiyo unasemaje ? Huko Mbeya wafanyakazi wamepewa nyongeza kubwa kuliko sehemu zingine ? Unapoteza muda wako kusifia makusanyo ambayo wanaofaidika ni wachache. Pole sana.
 
Hongera sana kwa serikali ya Rais Samia.👇
Safi Sana
 
Japo kuwa Mbeya tunatengwa sana na serikali lakini tumekubali kujiendesha wenyewe na watakoma.

Haiwezekani eti Mbeya nzima hakuna fly over pale Mafiat na Uyole (hayo maeneo ni lazima fly over ziwepo mpaka mbalizi kule wajenge fly over).

Eti leo hii dodoma ni kuzuri kuliko Mbeya si ni matusi haya?

Kwa asilimia kubwa majengo yote makubwa unayoyaona Mbeya tumeyajenga raia wenyewe bila mkono wa serikali(Ndiyo si wametutenga?)

Huku Tukuyu tukigoma kuleta ndizi, Maparachichi, Mchele sijui huko wanakuita mjini watashindia madafu au vipi..!!!

Huko kwenye mafly over hakika nawaambia watakusanya kodi kwenye hizo hizo fly over zao (Maana wanavyopita juu kule eti wanapiga na picha)

Tuna ziwa letu Matema Beach pale tunakula samaki wa kila aina "What else?"

Ganja tunavuta ya Mlima Rungwe na malawi hatuhitaji ya mikoani "What else?"

Na tuna mpango wa kuanzisha serikali yetu tusiingiliane na mkoa wowote ule tanzania maana kila kitu tunacho "What else?"

MBEYA CITY STAND UP.
Miaka yote mapato ya Mbeya walikuwa wanayapeleka Chato. Marehemu alisema pesa haitapelekwa Jimbo Ambalo linaongozwa na upinzani.

Hakuishia hapo akamfunga gerezani mbunge wetu.

Tulikuwa na kiongozi mbaguzi na mshirikina mwenye roho ya kishetani.
 
Hizo Kodi zote zinakwenda Kwa koo mbili ,kikwete,samia ,makamba,lowassa
 
Nawasalimu kwa jina la JMT, natumai Kazi zinaendelea.

Mkoa wa Mbeya umevunja rekodi ya Makusanyo yake ya mapato ya ndani Kwa Halmashauri zake 7 Kwa kukusanya bil.45 sawa na zaidi ya asilimia 105.6% ya malengo.

Hayo yameelezwa na Mkuu wa Mkoa was Mbeya Juma Homela kwa Waandishi wa Habari na kuzipongeza Halmashauri za Mkoa huo pamoja na Sektetatieti ya Mkoa ikiongizwa na RAS wa Mbeya.

Kila Halmashauri imevuka malengo waliyopangiwa na Serikali hivyo kuziwezesha kutoa huduma na kutekelezwa Kwa miradi iliyopangwa kwa asilimia 100.

My Take:

Hii ndio maana Halisi Sasa ya Kufungua Nchi na Sasa matunda yanaonekana baada ya biashara mpya kuzidi kufunguliwa.

Hongera sana kwa serikali ya Rais Samia.👇
Kafulila kapigwa chini yuko wapii sasaaa? Kekele miiingiii
 
Kwa hiyo unasemaje ? Huko Mbeya wafanyakazi wamepewa nyongeza kubwa kuliko sehemu zingine ? Unapoteza muda wako kusifia makusanyo ambayo wanaofaidika ni wachache. Pole sana.
Tanzania sio ya wafanyakazi pekee,kama vipi acha Kazi kama una jeuri.
 
Japo kuwa Mbeya tunatengwa sana na serikali lakini tumekubali kujiendesha wenyewe na watakoma.

Haiwezekani eti Mbeya nzima hakuna fly over pale Mafiat na Uyole (hayo maeneo ni lazima fly over ziwepo mpaka mbalizi kule wajenge fly over).

Eti leo hii dodoma ni kuzuri kuliko Mbeya si ni matusi haya?

Kwa asilimia kubwa majengo yote makubwa unayoyaona Mbeya tumeyajenga raia wenyewe bila mkono wa serikali(Ndiyo si wametutenga?)

Huku Tukuyu tukigoma kuleta ndizi, Maparachichi, Mchele sijui huko wanakuita mjini watashindia madafu au vipi..!!!

Huko kwenye mafly over hakika nawaambia watakusanya kodi kwenye hizo hizo fly over zao (Maana wanavyopita juu kule eti wanapiga na picha)

Tuna ziwa letu Matema Beach pale tunakula samaki wa kila aina "What else?"

Ganja tunavuta ya Mlima Rungwe na malawi hatuhitaji ya mikoani "What else?"

Na tuna mpango wa kuanzisha serikali yetu tusiingiliane na mkoa wowote ule tanzania maana kila kitu tunacho "What else?"

MBEYA CITY STAND UP.
Bora yenu nyie mbeya mmejengewa vyuo vingi tu vya serikali vipo Mbeya je Mwanza na kanda ya ziwa kwa ujumla kuna chuo kikuu cha serikali ata kimoja? Sisi wana Mwanza tulishachukua hatua zamani tu za kujitegemea wenyewe na kuwa wazalendo kwa mji wetu na tutaujenga.
Mkiwa na mawazo ya kukimbilia Dar ni sawa na kudumaza miji yenu🙏🙏🙏
 
Vyuo gani tumejengewa wewe pimbi
 
Vyuo gani tumejengewa wewe pimbi
Unataka kusema mbeya hakuna vyuo vikuu vya serikali na sasa mnajengewa chuo kingine campus ya udsm. Upumbavu wako utaisha lini? Nataka uniambie kanda ya ziwa nzima kuna chuo kikuu ata kimoja cha serikali???
 
Vyuo vikuu ndio vinafungua fursa ya kilimo na biashara wewe fala?

Nani kakwambia Mbeya wanahitaji vyuo Vikuu? Kwa nini tusibadilishane nyie ambao mnaongiza kwa ujinga mjengewe vyuo vikuu na sisi tujengewe miundombinu harafu baada yaiaka 5 tuje kufanya tathmni yupi kafaidika..

Stupid kabisa,vyuo vikuu vitalingana na daraja moja la bil.700 wewe kima?

Kwanza vyuo vyenyewe ndio vinakuja na mipango ya kujenga maeneo fulani fulani na sio Serikali..

Mbeya kuna wanaopenda elimu tofauti na nyie wapenda kuchunga ng'ombe nani awaletee chuo?
 
Vyuo vikuu ndio vinafungua fursa ya kilimo na biashara wewe fala?

Nani kakwambia Mbeya wanahitaji vyuo Vikuu? Kwa nini tusibadilishane nyie ambao mnaongiza kwa ujinga mjengewe vyuo vikuu na sisi tujengewe miundombinu harafu baada yaiaka 5 tuje kufanya tathmni yupi kafaidika..

Stupid kabisa,vyuo vikuu vitalingana na daraja moja la bil.700 wewe kima?
Leo ndio nimejua kwanini una chuki na Mwanza pamoja na hayati magufuli😂😂😂😂
Kumbe ulitaka daraja la kigongo busisi lijengwe ziwa nyasa😂😂😂
 
Back
Top Bottom