Mbeya ni mkoa mkubwa, miundombinu haitoshi,bado barabara ya kutoka Mbeya kwenda Tabora na Singida ni vumbi,barabara ya kutoka Mbeya kwenda Njombe via Kitulo NP ni vumbi,Igawa to Rujewa hadi Ubaruku ni vumbi,Mbalizi to Chunya via mkwajuni ni vumbi nk nk...
Maeneo hayo ni potential Sana kwa kilimo..On top of that TANZAM Highway ndio roho ya Mbeya Kwa nini haijapanuliwa miaka yote hiyo licha kuingiza pesa nyingi?
Mwisho haiingii akilini uwanja wa Songwe unajengwa toka enzi za Mkapa na haumaliziki,hizi ni hujuma za makusudi.