Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 6,976
- 7,726
Huna Takwimu wewe fala ndio maana Nimekwambia Mkoa wenu na nyie watu wake ni maskini wa kutupwa..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna Takwimu wewe fala ndio maana Nimekwambia Mkoa wenu na nyie watu wake ni maskini wa kutupwa..
Tataka unipe top 10 ya per Capita na top 10 ya GDP..Kanda ya ziwa imeingiza mikoa mingapi kwenye top ten? Na nyie nyanda za juu kusini kuna mikoa mingapi?
Ni mara nyingi imetokea Takwimu za Halmashauri na RS na OR - TAMISEMI zinatofautiana katika mfumo wa mapato. Itoshe kusema walitakiwa kusubiri Waziri mwenye dhamana atangazeZa Waziri zinatoka wapi kama sio hizo hizi anazopewa na Halmashauri husika?
Unadhani fly overs zinajengwa jengwa kihuni....mji hauna hata foleni uweke fly overs ili iweje ..Japo kuwa Mbeya tunatengwa sana na serikali lakini tumekubali kujiendesha wenyewe na watakoma.
Haiwezekani eti Mbeya nzima hakuna fly over pale Mafiat na Uyole (hayo maeneo ni lazima fly over ziwepo mpaka mbalizi kule wajenge fly over).
Eti leo hii dodoma ni kuzuri kuliko Mbeya si ni matusi haya?
Kwa asilimia kubwa majengo yote makubwa unayoyaona Mbeya tumeyajenga raia wenyewe bila mkono wa serikali(Ndiyo si wametutenga?)
Huku Tukuyu tukigoma kuleta ndizi, Maparachichi, Mchele sijui huko wanakuita mjini watashindia madafu au vipi..!!!
Huko kwenye mafly over hakika nawaambia watakusanya kodi kwenye hizo hizo fly over zao (Maana wanavyopita juu kule eti wanapiga na picha)
Tuna ziwa letu Matema Beach pale tunakula samaki wa kila aina "What else?"
Ganja tunavuta ya Mlima Rungwe na malawi hatuhitaji ya mikoani "What else?"
Na tuna mpango wa kuanzisha serikali yetu tusiingiliane na mkoa wowote ule tanzania maana kila kitu tunacho "What else?"
MBEYA CITY STAND UP.
Makusanyo ya Mwanza yako wapi? Weka hapa tuchekeUnadhani fly overs zinajengwa jengwa kihuni....mji hauna hata foleni uweke fly overs ili iweje ..
Pathetic and rubbish comments..usifananishe mwanza na takataka hyoHiyo mikoa yenu ni takataka tuu ,imejaa maskini huko,Dodoma ilipowachapa zama zile za giza za mfalme Wa Chato si mliishia kubisha na kusema wamepika data sasa since then to date mwendo wa kuporomoka ni ule ule.
Cha ajabu Nini kama hata Pwani imewazidi? Kule mnasema kuna Waswahili [emoji38][emoji38],na bado mtazidiwa na Morogoro,Ruvuma na Tanga miaka michache ijayo..
Hiyo Mwanza zaidi ya hapo Mjini kwingine kuna nini cha maana? Umewahi tembelea Wilaya yeyote ya Mbeya ukakuta inafanana na hizo zenu chokambaya?
Mapovu sitaki nataka mapato ya Mkoa Wa Mwanza maana yaliyoko tamisemi mnajambiwa tuu na Mbeya,Pwani,Dodoma nkPathetic and rubbish comments..usifananishe mwanza na takataka hyo
Unasema uwanja wa ndege wa songwe upanuliwe ...yaani uwanja hata idadi ya abiria inazidiwa na uwanja wa mwanza ..hauna hata international flight.kwa potential gan ulionao huo uwanjaMbeya ni mkoa mkubwa, miundombinu haitoshi,bado barabara ya kutoka Mbeya kwenda Tabora na Singida ni vumbi,barabara ya kutoka Mbeya kwenda Njombe via Kitulo NP ni vumbi,Igawa to Rujewa hadi Ubaruku ni vumbi,Mbalizi to Chunya via mkwajuni ni vumbi nk nk...
Maeneo hayo ni potential Sana kwa kilimo..On top of that TANZAM Highway ndio roho ya Mbeya Kwa nini haijapanuliwa miaka yote hiyo licha kuingiza pesa nyingi?
Mwisho haiingii akilini uwanja wa Songwe unajengwa toka enzi za Mkapa na haumaliziki,hizi ni hujuma za makusudi.
Mbeya ni hub na iko Zone ya Nchi za SADC..Unasema uwanja wa ndege wa songwe upanuliwe ...yaani uwanja hata idadi ya abiria inazidiwa na uwanja wa mwanza ..hauna hata international flight.kwa potential gan ulionao huo uwanja
We ni fala kweli hizo taarifa za kijinga huwa unaokoteza wapi? Nakupa taarifa sahihi we mbweha👇👇👇Ukiikuta Mwanza top 10 ya per Capita income unitag 😂 😂
Mapato ya halimashauri yanategemea vyanzo vya mapato vya serikali, ukiona mapato ya halimashauri yapo juu sehemu fulani jua kuwa serikali imewekeza sana huko kuliko sehemu nyingine.Makusanyo ya Mwanza yako wapi? Weka hapa tucheke
Staki blaa blaa nataka mapato ya Mwanza maana huwa hamkosi excuse nyie.Mapato ya halimashauri yanategemea vyanzo vya mapato vya serikali, ukiona mapato ya halimashauri yapo juu sehemu fulani jua kuwa serikali imewekeza sana huko kuliko sehemu nyingine.
Dodoma na Dar huwezi kuzilinganisha na miji ambayo haijawekezwa na serikali so ata mapato yao ya halmashauri lazima yawe juu.
Unalingia mapato ya halimashauri kukiwa hakuna investors si ukichaa huo.
Mikia kama kawaida yenu 😂😂😂😂😂😂We ni fala kweli hizo taarifa za kijinga huwa unaokoteza wapi? Nakupa taarifa sahihi we mbweha👇👇👇
Ulisema tukiwa kwenye top 10 gdp per capita nikutag🤣🤣🤣Staki blaa blaa nataka mapato ya Mwanza maana huwa hamkosi excuse nyie.
Nimekupa gdp hapo unataka nini tena dgp ndio kila kitu kwenye uchumi kuanzia mapato ya halimashauri, TRA, sector binafsi n.kStaki blaa blaa nataka mapato ya Mwanza maana huwa hamkosi excuse nyie.
Kwa hiyo umekubari kwamba nyie ni fukara si ndio?Nimekupa gdp hapo unataka nini tena dgp ndio kila kitu kwenye uchumi kuanzia mapato ya halimashauri, TRA, sector binafsi n.k
Nikufundishe kitu GDP ndio summary ya uchumi wa sehemu husika kifupi ndio utajiri wa sehemu fulani.
Kubwa jinga endelea kuwa popoma.
Kwa hiyo unajivunia kuwa mkiani au? 😁😁Ulisema tukiwa kwenye top 10 gdp per capita nikutag🤣🤣🤣
Mwanza wakiwa fukara Mikoa yote itakuwa in extreme povert kutoa Dar ambao wapo juu ya MwanzaKwa hiyo umekubari kwamba nyie ni fukara si ndio?