Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kitu kinachoitwa kuvunja record.Nawasalimu kwa jina la JMT,natumai Kazi zinaendelea..
Mkoa wa Mbeya umevunja rekodi ya Makusanyo yake ya mapato ya ndani Kwa Halmashauri zake 7 Kwa kukusanya bil.45 sawa na zaidi ya asilimia 105.6% ya malengo..
Hayo yameelezwa na Mkuu WA Mkoa was Mbeya Juma Homela kwa Waandishi wa Habari na kuzipongeza Halmashauri za Mkoa huo pamoja na Sektetatieti ya Mkoa ikiongizwa na RAS wa Mbeya..
Kila Halmashauri imevuka malengo waliyopangiwa na Serikali hivyo kuziwezesha kutoa huduma na kutekelezwa Kwa miradi iliyopangwa kwa asilimia 100..
My Take,
Hii ndio maana Halisi Sasa ya Kufungua Nchi na Sasa matunda yanaonekana baada ya biashara mpya kuzidi kufunguliwa..
Hongera sana kwa serikali ya Rais Samia.👇
Husda itakupeleka kaburini mapema Sana..Hakuna kitu kinachoitwa kuvunja record.
1. Ni makadirio ya mapato ya mkoa yaliwekwa chini tofauti na uwezo Hasa wa Mkoa kimapato.
2. Ni upikaji wa DATA uloratibiwa vizuri ndo unavuka lengo.
Uwezo wa Mkoa huo kimapato ni mkubwa kuliko mnavyodhani jitihada zaidi zinahitajika kutatua changamoto za wananchi ktk uzalishaji Ili kipato kikue na mapato yawe zaidi ya hapo.
Note: Mtumishi hatasifiwa akitimiza wajibu wake, Akaze boot.
Nani aliwawekea makadirioMkoa wa Mbeya umevunja rekodi ya Makusanyo yake ya mapato ya ndani Kwa Halmashauri zake 7 Kwa kukusanya bil.45 sawa na zaidi ya asilimia 105.6% ya malengo..
Mengine nani huwa anawawekea?Nani aliwawekea makadirio
Nijibu Kwa kutulia;Husda itakupeleka kaburini mapema Sana..
Kwa hiyo mwaka gani ambao makadirii yalikuwa bil.42 ?
Miaka yote iliyopita licha ya kuwa na makadirio pungufu ya bil.42,Mkoa haijawahi kuvuka na inatakiwa kuelewa kwamba kila Mwaka makadirio huwa yanaongezwa.
Sasa unaleta utoto,mikopo na mapato kuongezeka vinahusianaje?Nijibu Kwa kutulia;
Kama mapato yanaongezeka, mbona MIKOPO inaongezeka Badala ya kupungua?
Mimi nimeiajiri Serikali initumikie, nitakuwa wa mwisho KUSIFIA inapotimiza wajibu wake.
Nijuavyo mm data hupikwa Ili tutengeneza Haiba nzuri Kwa viongozi waonekane wanaupiga mwingi.
Si mgeni kwenye mambo hayo.
Pia mm Si wa Kufa Leo Wala kesho, ni WA Milele, Nina kusudi juu ya nchi yangu nzuri Tanzania.
Ameeeen.
Ripoti ya CAG iliripoti upotevu wa mabilioni kwenye Mkoa huo ktk miradi mbalimbali,Nawasalimu kwa jina la JMT,natumai Kazi zinaendelea..
Mkoa wa Mbeya umevunja rekodi ya Makusanyo yake ya mapato ya ndani Kwa Halmashauri zake 7 Kwa kukusanya bil.45 sawa na zaidi ya asilimia 105.6% ya malengo..
Hayo yameelezwa na Mkuu WA Mkoa was Mbeya Juma Homela kwa Waandishi wa Habari na kuzipongeza Halmashauri za Mkoa huo pamoja na Sektetatieti ya Mkoa ikiongizwa na RAS wa Mbeya..
Kila Halmashauri imevuka malengo waliyopangiwa na Serikali hivyo kuziwezesha kutoa huduma na kutekelezwa Kwa miradi iliyopangwa kwa asilimia 100..
My Take,
Hii ndio maana Halisi Sasa ya Kufungua Nchi na Sasa matunda yanaonekana baada ya biashara mpya kuzidi kufunguliwa..
Hongera sana kwa serikali ya Rais Samia.👇
Swali gumu majibu mepesi.Sasa unaleta utoto,mikopo na mapato kuongezeka vinahusianaje?
Mikopo ni chanzo cha mapato na anakopeshwa anaeweza kulipa,kama unadhani mkopo ni mgao nenda bank ukakope.
Kwa hiyo makusanyo mazuri ndio yanatosheleza mahitaji?Swali gumu majibu mepesi.
Hivi una makusanyo MAZURI mikopo ya nn?
Kuna mapato ya aina nyingi Sana ila kwa kuwa wewe ni mjinga ndio maana unauliza hivyo,ngoja nikutoe ujinga Kwa kukupa elimu.Hiv mkoa mzima bl 45? Mbona kidogo sana.
Mkoa gani huo?Watu wamegonga 108%
Mimi ndo sioni ama? Mbona makisio ni 42bl na makusanyo ni 33bl, au ninyi huko mnaona 45bl?Sio 45bln ilikuwa 42bln ,soma hii attachment 👇
Kiukweli mi sijaona kwenye hizo takwimu kukiwa na bil.45 bali ni bil.33.9 ila maneno ya mkuu wa mkoa ndo bil.45. Sa tuamini maneno au takwimu? 😁😁 huyo jamaa ni mkurupukaji sanaHakuna kitu kinachoitwa kuvunja record.
1. Ni makadirio ya mapato ya mkoa yaliwekwa chini tofauti na uwezo Hasa wa Mkoa kimapato.
2. Ni upikaji wa DATA uloratibiwa vizuri ndo unavuka lengo.
Uwezo wa Mkoa huo kimapato ni mkubwa kuliko mnavyodhani jitihada zaidi zinahitajika kutatua changamoto za wananchi ktk uzalishaji Ili kipato kikue na mapato yawe zaidi ya hapo.
Note: Mtumishi hatasifiwa akitimiza wajibu wake, Akaze boot.
Tofautisha tarehe za hizi taarifa mbili..Hiyo ilikuwa robo ya tatu na taarifa ya saizi na makusanyo ya mwaka mzima..Mimi ndo sioni ama? Mbona makisio ni 42bl na makusanyo ni 33bl, au ninyi huko mnaona 45bl?
Ahahaa! Yeye mkuu wa mkoa katoa wapi wakati takwimu nzima haijatoka?Tofautisha tarehe za hizi taarifa mbili..Hiyo ilikuwa robo ya tatu na taarifa ya saizi na makusanyo ya mwaka mzima..
Hiyo attachment inaonyesha kwa mikoa yote..Taarifa rasmi ya mikoa yote ataitoa Waziri wa Tamisemi kabla ya mwisho wa Mwezi huu au mapema mwezi wa 8..