Mkoa wa Mbeya Wavunja rekodi ya Makusanyo ya Mapato kwa asilimia 105% Mwaka 2021/2022

Oman,Bahrain,Saudi Arabia,UAE
Screenshot_20220723-223213.jpg
 
Sasa kwa figures hizo Kuwait na China wapi kuna maskini wa kuzidi?
Hilo awali ,unaniuliza mm...jiulize wewe kwann china nchi ya pili kwa utajiri duniani ,ya pili vkwa mabilionea duniani , inazidiwa na kuwait ambayo hata kwenye G20 Haipo
 
Ndipo utagundua weakness ya GDP per capital kuwa sio valid na exact measurements ya umaskini .labda division of economy among individuals
 
Oman,Bahrain,Saudi Arabia,UAEView attachment 2301678
Ndio nakuuliza kwa figures hizo China na hizo Nchi wapi kuna maskini wa kuzidi?

Unasema wanapima kwa kutumia consumption sasa hiyo consumption power ya individual utaijuaje bila kutumia Per Capita income?

Acha bange wewe,ndio maana classification za Middle Income,sijui lower income mara poor zinatumia GDP per Capita at PPP na sio Nominal.
 
Hilo awali ,unaniuliza mm...jiulize wewe kwann china nchi ya pili kwa utajiri duniani ,ya pili vkwa mabilionea duniani , inazidiwa na kuwait ambayo hata kwenye G20 Haipo
Ya pili kwa GDP kubwa ila ina maskini wa kuzidi kuliko Nchi ulizolinganisha mazo.

Hata hivyo kinachowabeba ni wingi wa watu wa Middle income hivyo kuvutia biashara na ndio kilichokuza GDP yao..

Hata huko kwenu Mwanza kinachowaleta wafanyabiashara ni wingi wa watu tuu nothing else..

Pia consumption behavior ya maskini wa kati ni kubwa kuliko mwenye uwezo au tajiri hivyo Kwa biashara ni bora kule kwenye maskini wa kati wanaoweza kununua.
 
Ndio nakuuliza kwa figures hizo China na hizo Nchi wapi kuna maskini wa kuzidi?

Unasema wanapima kwa kutumia consumption sasa hiyo consumption power ya individual utaijuaje bila kutumia Per Capita income?

Acha bange wewe,ndio maana classification za Middle Income,sijui lower income mara poor zinatumia GDP per Capita at PPP na sio Nominal.
Maskini ushaanza kutapatapa ...kwan sisi tunazungumzia nn ..au wapi nimesema wanatumia consumption ,,, anyway nipe tofauti kati ya purchasing power parity na nominal GDP
 
Jibu rahisi ni Kwamba when you take out the effects of inflation na exchange rate utapata hiyo PPP na kinyume chake ndio Nominal GDP.

Hee umeanza kukana? Hujasema mwanzo kwamba wanatumia consumption measurements? Sasa Wewe pimbi ukadhani hiyo consumption measurement ni nini hasa kama sio per Capita?
 
Ya pili kwa GDP kubwa ila ina maskini wa kuzidi kuliko Nchi ulizolinganisha mazo.

Hata hivyo kinachowabeba ni wingi wa watu wa Middle income hivyo kuvutia biashara na ndio kilichokuza GDP yao..

Hata huko kwenu Mwanza kinachowaleta wafanyabiashara ni wingi wa watu tuu nothing else..

Pia consumption behavior ya maskini wa kati ni kubwa kuliko mwenye uwezo au tajiri hivyo Kwa biashara ni bora kule kwenye maskini wa kati wanaoweza kununua.
Unaongea hata havieleweki .....kwa hyo umekubali GDP per capital sio relevant measure ya umaskini ...[emoji23]
 
Jibu rahisi ni Kwamba when you take out the effects of inflation na exchange rate utapata hiyo PPP na kinyume chake ndio Nominal GDP
Sasa hata figures nilizotoa hapo juu kuhusu kuwait na china..zimetumia PPP ..na ukitumia PPP china ni nchi ya kwanza kwa uchumi duniani ..na ndio yenye bilionea wengi duniani ...mim mchina tajiri namjua jack ma..lakini mkuwait gani tajiri unayemfahamu
 
Unaongea hata havieleweki .....kwa hyo umekubali GDP per capital sio relevant measure ya umaskini ...[emoji23]
Ndio kipimo cha maskini hicho so huko kwenu kuna maskini wengi..

Wewe layman wa uchumi huwezi elewa haya mambo yanahitaji akili kubwa.
 
Ndo tunarudi hapa
.Mbeya baada ya kukatwa songwe ikawa na population ya milioni 1.7 hv.. ukichukua GDP ya Mbeya ni trilioni 8 ..kwa hyo gawa trilioni 8 kwa milioni 1.7 utapata jibu ...
Mwanza ilikuwa na population ya 3 milioni ..GDP ya mwanza ni trilioni 10.9 ,..gawa utapata jibu ..hivi ndio per capital inapimwa
 
Sasa hata figures nilizotoa hapo juu kuhusu kuwait na china..zimetumia PPP ..na ukitumia PPP china ni nchi ya kwanza kwa uchumi duniani ..na ndio yenye bilionea wengi duniani ...mim mchina tajiri namjua jack ma..lakini mkuwait gani tajiri unayemfahamu
Kama inflation yao iko chini na kama fesha yao ina nguvu basi wanaweza kuwa na ahueni ya maisha kuliko wengine..

Sasa kuwa matajiri wengi na sijui namba moja Duniani sio jambo la kujivunia kwa sababu inakuwa kuna income gap Kubwa mno na maskini wa kuzidi..

Yaani kwenye msafara wa mamba na nyie kenge mnazamia humo humo.😬😬
Sasa hata figures nilizotoa hapo juu kuhusu kuwait na china..zimetumia PPP ..na ukitumia PPP china ni nchi ya kwanza kwa uchumi duniani ..na ndio yenye bilionea wengi duniani ...mim mchina tajiri namjua jack ma..lakini mkuwait gani tajiri unayemfahamu
 
Ndio kipimo cha maskini hicho so huko kwenu kuna maskini wengi..

Wewe layman wa uchumi huwezi elewa haya mambo yanahitaji akili kubwa.
[emoji3][emoji3]ambayo wewe huna au ....usilete hoja dhaifu ,,,,,,,,tafuta fact kabla ya kuongea jambo
 
Kama inflation yao iko chini na kama fesha yao ina nguvu basi wanaweza kuwa na ahueni ya maisha kuliko wengine..

Sasa kuwa matajiri wengi na sijui namba moja Duniani sio jambo la kujivunia kwa sababu inakuwa kuna income gap Kubwa mno na maskini wa kuzidi..

Yaani kwenye msafara wa mamba na nyie kenge mnazamia humo humo.[emoji51][emoji51]
Ndo ukubali sasa kuwa data ulizoleta hazina facts ya kuiweka Mbeya a better place kiuchumi kuliko mwanza[emoji23][emoji16][emoji16]
 
Kwa nini isiwe better place wakati tayari Wana living standard kubwa na Wana perchasing power kubwa kushinda Mwanza?

Tofauti ni namba ya wenye hiyo kapasiti..

Narudia tena,kinachowabeba huko kwenu ni wingi wa watu na consumer behavior ya watu maskini Huwa ni kubwa so kwa biashara wanapenda hiyo..

By the way licha ya kwamba tunawajambia ila sh.3200 per day ni kiwango kilicho juu kidogo ya mstari wa mwisho wa umaskini so kiuchumi kinakubalika na Kwa vile mko wengi ni good kwa wafanyabiashara.

Kwa muktadha huo sisi Mbeya licha ya kuwa na kipato cha wastani WA dola 2 Kwa siku ,tuko wachache so hatuwezi kuvutia biashara kwa wingi Kama Mwanza,the same to Huko Kuwait,Bahrein and the likes.
 
Umeongea hoja dhaifu ambayo hata haihusiani na mada ..sisi hatungumzii biashara , tunazungumzia mapato ya mkoa ,na uchumi kwa ujumla .hyo ya 3200 per day umeitoa wap
 
Ni takwimu gani mwanza wa kipato cha 3200 per day ...ebu leta figures ili ujione namna hutumii akili ..unajua kutumia vinumbu vya usafwani na ludewa huko
 
Umeongea hoja dhaifu ambayo hata haihusiani na mada ..sisi hatungumzii biashara , tunazungumzia mapato ya mkoa ,na uchumi kwa ujumla .hyo ya 3200 per day umeitoa wap
Wewe nae ni kajinga,mapato ya Mkoa yanaletwa na upepo? Biashara ni sehemu ya kuleta mapato ya Mkoa.

Hoja ni GDP ya Mkoa vs GDP per Capita..

Nahitimisha,licha ya kwamba tunawajambia in terms of per Capita ila wingi wenu bado unakuwa ni catalyst ya kuvutia biashara hivyo kukuza GDP ya Mkoa.
 
Unahitimisha ni kwa sababu umeishiwa .hoja ,,all in all ,,Mbeya inahitaji safari ndefu ili ikae nafasi nzuri kiuchumi....
Ili iweze kufanya vizuri inatakiwa ifanye yafuatayo :
Imodernize agriculture system
Ivutie wawekezaji ili kustimulate biashara ..
iboreshe mji na kuwa na masterplan
I diversity economy kutoka kwenye mji wa wakulima na wafanyakazi hadi mji wa wafanya biashara na watoa huduma .
Iattract emigration ya watu kutoka mikoa na miji mingine ili kukuza population ya jiji
Iboreshe sekta ya teknolojia na huduma katika .
 
Back
Top Bottom