The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
- Thread starter
- #201
Safari ndefu ipi? Yaani difference ya GDP na Mwanza ni 3T na tuko namba 3 nyuma yenu, wakati huo huo living standard ya Mbeya ni mara 2 ya Mwanza..Hapo nani mwenye safari ndefu?Unahitimisha ni kwa sababu umeishiwa .hoja ,,all in all ,,Mbeya inahitaji safari ndefu ili ikae nafasi nzuri kiuchumi....
Ili iweze kufanya vizuri inatakiwa ifanye yafuatayo :
Imodernize agriculture system
Ivutie wawekezaji ili kustimulate biashara ..
iboreshe mji na kuwa na masterplan
I diversity economy kutoka kwenye mji wa wakulima na wafanyakazi hadi mji wa wafanya biashara na watoa huduma .
Iattract emigration ya watu kutoka mikoa na miji mingine ili kukuza population ya jiji
Iboreshe sekta ya teknolojia na huduma katika .
We kima wa Saanane nyie Ndio mna safari ndefu maana mko wengi lakini mapato tuu ya Halmashauri mnazidiwa na Mbeya afu unaongea ujinga hapa..
Sisi tunahitaji safari ndefu labda ya idadi ya Watu nothing else..
Tuna barabara zetu kama 3 hivi za muhimu zikikamilika hizi tutawazidi hata Hiyo GDP ambayo Ndio inawastahi kwa Sasa.