Mkoa wa Mbeya Wavunja rekodi ya Makusanyo ya Mapato kwa asilimia 105% Mwaka 2021/2022

Safari ndefu ipi? Yaani difference ya GDP na Mwanza ni 3T na tuko namba 3 nyuma yenu, wakati huo huo living standard ya Mbeya ni mara 2 ya Mwanza..Hapo nani mwenye safari ndefu?

We kima wa Saanane nyie Ndio mna safari ndefu maana mko wengi lakini mapato tuu ya Halmashauri mnazidiwa na Mbeya afu unaongea ujinga hapa..

Sisi tunahitaji safari ndefu labda ya idadi ya Watu nothing else..

Tuna barabara zetu kama 3 hivi za muhimu zikikamilika hizi tutawazidi hata Hiyo GDP ambayo Ndio inawastahi kwa Sasa.
 
population ni direct proportional to GDP growth lakini ni ceterius peribus ...GDP haikuzwi kwa population pekee yake. .note Russia ina GDP ya 1 trilioni USD na population ya milioni 150 ,.Italy Ina GDP ya 2 trilioni USD na population ya milioni 60....
...kwa sababu ili upate GDP katika bei ya soko ..unachukua uwekezaji +matumizi+thamani ya bidhaa na huduma +(thamani halisi ya bidhaa na huduma zilizouzwa nje ya eneo husika -thamani ya bidhaa au huduma kutoka mikoa mingine zilizouzwa ndani ya eneo husika).
 
Ndio maana nikakwambia labda nikimaanisha nakukejeri na nikapigilia msumari kwamba tuna barabara zetu 4 ,zikikamilika hizo tutawatandika fimbo kwenye hako la GDP uchwara kanakowastahi kwa sasa so long as we have more resources than your mkoa.
 
Other way GDP =investment+consumption+government spending+net export and imports
 
Ndio maana nikakwambia labda nikimaanisha nakukejeri na nikapigilia msumari kwamba tuna barabara zetu 4 ,zikikamilika hizo tutawatandika fimbo kwenye hako la GDP uchwara kanakowastahi kwa sasa so long as we have more resources than your mkoa.
Kwan Mwanza SGR ikikamilika itakuwaje ,,,, daraja la Busisi je .. mbona unakuwa shortsighted
 
Ndio maana nikakwambia labda nikimaanisha nakukejeri na nikapigilia msumari kwamba tuna barabara zetu 4 ,zikikamilika hizo tutawatandika fimbo kwenye hako la GDP uchwara kanakowastahi kwa sasa so long as we have more resources than your mkoa.
Ukiangalia figures za serikali GDP growth rate ya mwanza kwa mwaka ni billion 700 na hapo ilikuwa ni covid 19 ..[emoji116][emoji116] angalia msemaji wa serikali akifafanua figures
 

Attachments

  • Screenshot_20220724-054908_1.jpg
    34.7 KB · Views: 6
Hakuna impacts yeyote ya maana italetwa na sgr,hiyo ni tembo mweupe.
Kwamba wewe ni proffesional kuliko board ya wataalamu waliomshauri raisi ....
ngoja nikwambie ..mwanza ni jiji linalofanya safari nyingi na jiji la dar kuliko mji wowote... usafiri wa mabasi na ndege una route nyingi ..mwanza ni hub ya great lakes ko SGR itarahisisha biashara baina ya nchi za maziwa makuu kupitia bandari ya mwanza ..unavyosema ni white elephant huo ni wivu usio na msingi
 
Ukiangalia figures za serikali GDP growth rate ya mwanza kwa mwaka ni billion 700 na hapo ilikuwa ni covid 19 ..[emoji116][emoji116] angalia msemaji wa serikali akifafanua figuresView attachment 2301879
Ukiweka figures uwe unaweka zilizokamilika Ili tufanye ulinganisho..

By the way hiyo growth sio kwamba itakuwa constant miaka yote na kwamba kwingine kumesimama..

Nafahamu Kwa miaka ya hivi karibuni itakuwa hivyo Kwa sababu za investment kubwa iliyofanywa na Serikali Kwa miaka 5 iliyopita ila itapungua tuu by 2030 au itazidiwa na Mikoa kama Mbeya Kwa miaka hiyo..

Kwa sababu tutakuwa tumeanza kuzalisha madini kwenye migodi Mikubwa na miundombinu mbinu mingi itakuwa imeshafunguka.
 
Huo ni mradi wa kisiasa hakuna Cha professional hapo ni Mwendazake alilazimisha tuu..

Sgr italeta tija huku 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220723-205124.png
    190.1 KB · Views: 6
  • Screenshot_20220723-205321.png
    109.7 KB · Views: 6
  • Screenshot_20220723-205107.png
    137.5 KB · Views: 6
Huo ni mradi wa kisiasa hakuna Cha professional hapo ni Mwendazake alilazimisha tuu..

Sgr italeta tija huku [emoji116]
SGR proposal yake imeandaliwa awamu ya nne ,,, Magufuli kafanya implementation tu ..

Uganda wameanza kutumia bandari ya mwanza kwa mizigo kutoka bandari ya dar es salaam ..
Kukamilika kwa dry port ya fela kutawezesha mizigo ya kuelekea Burundi ,Rwanda ,na east DRC kuchukuliwa mwanza badala ya kwenda hadi dar...
 
Kwan Mwanza SGR ikikamilika itakuwaje ,,,, daraja la Busisi je .. mbona unakuwa shortsighted
Mwongee huyo kijana hata stand mbili za kisasa na soko mkuu la kisasa vinaelekea kukamirika pia upanuzi wa barabara Usagara mjini kilometer kama 20 hivi uko njiani! Mbeya ni kijiji tu kwa mwanza kwa kila kitu!
 
Hivyo vyote unavyovisemea ww huku vinazidi kufanyika ..na hapo productions ya pamba ikirudi ndo kabisa tutashuhudia a booming economy Kama enzi Franklin rooservert
 
Mzee wewe elewa tuu kwamba sgr Mwanza ni pambo na itakuwa inaleta hasara tuu,Yaani itakuwa ni huduma kwa abiria ila kwa mizigo haitakuja kuleta chochote cha maana,ni tembo mweupe.

Namba 6 ndio inaongea, 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220722-185451_Twitter.jpg
    30.2 KB · Views: 6
Hivyo vyote unavyovisemea ww huku vinazidi kufanyika ..na hapo productions ya pamba ikirudi ndo kabisa tutashuhudia a booming economy Kama enzi Franklin rooservertView attachment 2301894
Hakuna shida ila potential kubwa kwenye sector zote iko Mbeya Mzee..

Unazungumzia hako la bilioni 2 wakati Pale Songwe kuna Mbeya Tex,pamba ikirudi itarudi kote kote sio huko tuu..

Unajua zao la pareto wewe? Unajua parachichi wewe? Serikali inajenga coldroom Songwe airport tuanze shipment ya Ulaya moja kwa moja..

Na Mazao mengine lundo ya shamba..Ngoja nisubirie 2030 nione itakuaje tuombe uzima.
 
Mzee wewe elewa tuu kwamba sgr Mwanza ni pambo na itakuwa inaleta hasara tuu,Yaani itakuwa ni huduma kwa abiria ila kwa mizigo haitakuja kuleta chochote cha maana,ni tembo mweupe.

Namba 6 ndio inaongea, [emoji116]
Mizigo ya Uganda, Burundi ,na Rwanda inapitia kanda ya ziwa ..kongo imegawanyika mizigo ya mashariki kwa kongo miji ya GOMA na beni wanapitia kanda ya ziwa ... Lubumbashi wanapitia tunduma ....unaposema SGR ya mwanza ni elephants lazima utumie akili kudadavua mambo ...isaka na mwanza kunawekwa dry Ports hutaona malori mengi dar ...
Pia sgr phase 2 itajengwa toka tabora hadi kigoma kupitia katavi ko hyo bandari ya kalemie iko on plan
 
Sawa ngoja tuone .....
Wakati wenzenu tunasafirisha Minofu ya samaki nyie subirini maparachichi ambayo tayari wakenya washamaliza soko
 
Mi nashangaa sana mkifurahia ukusanyaji wa mapato mkubwa
Halaf hatuoni cha maana kikifanyika kupitia hayo mapato🤨
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…