Mkoa wa Mbeya Wavunja rekodi ya Makusanyo ya Mapato kwa asilimia 105% Mwaka 2021/2022

Sawa ngoja tuone .....
Wakati wenzenu tunasafirisha Minofu ya samaki nyie subirini maparachichi ambayo tayari wakenya washamaliza soko
Sasa minofu na parachichi kipi kinaingiza pesa nyingi? Tafuta Takwimu utaona humu.
 
Wew jamaa inafurahisha...parachichi zinazidi Minofu ya samaki [emoji74][emoji74][emoji75]
Tena mbali Sana ,kama mchele tuu umezidi mauzo ya mazao ya biashara ikiwemo korosho na pamba sembuse Parachichi?

Ingia TAHA hapo utapata.
 
Mauzo ya samaki nje ya nchi ...note kwa mujibu wa BOT asilimia 95 ya samaki wanaouzwa nje ya nchi wanatoka kanda ya ziwa...
 
Jikite kwenye Hoja ya mapato ya Mbeya kuvunja rekodi.
[emoji74][emoji74][emoji74][emoji75][emoji75]umekimbia ,,,,au siyo..nilikuwa nakuonyesha ma giant wa Mbeya ni wapi ... mbeya itabakia kuwa kibonde kwenye majiji yote .. Dodoma hamuiwezi, Arusha hamuiwezi,mwanza ndo kabisa ,tanga nayo strategically ipo juu
 
Ukisema wakajifunze unakosea huko unakokutaja ni nguvu ya serikali hasa kipindi cha mwendezake,mbeya inaangaliwa kwa jicho baya na watawala(envy).
 
Kuna ukweli,mbona ile barabara ya uyole kasumulu imejengwa miaka ya tisini lakini mpaka sasa bado ni imara?
 
Leo ndio nimejua kwanini una chuki na Mwanza pamoja na hayati magufuli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe ulitaka daraja la kigongo busisi lijengwe ziwa nyasa[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Magufuli we unaona alikuwa sawa?badilika uwe mtu[emoji2]
 
Nashangaa eti pembejeo ndio hitaji letu kisa kilimo na wao wafugaji barabara za nini kwani ng'ombe anataka barabara,mkuu mpuuzi ajibiwe kipuuzi.
 
Ukisema wakajifunze unakosea huko unakokutaja ni nguvu ya serikali hasa kipindi cha mwendezake,mbeya inaangaliwa kwa jicho baya na watawala(envy).

Wajichunguze kwa nini inakuwa hivyo.
 
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya amedanganya Umma,wakati anasema Kila Halmashauri yake imevuka Malengo, Waziri wa Tamisemi anasema Jiji la Mbeya limekuwa la mwisho..

Juma Homela atutake radhi kwa kutoa taarifa ya uongo na miaka mingine asirudie kabisa πŸ‘‡

 
Ni jambo zuri sasa ni wakati wakutengeneza barabara za mitaa za jiji maana zinahali mbaya sana, siyo mbaya wakienda kujifunza jiji la Mwanza. Mwanza pamoja na kuwa na changamoto za miamba ila barabara za mitaa kwa kiasi fulani wamejitahidi kuzijenga.
Boss ni Mwanza ipi unayosema Mwanza ya Somalia, Karagwe, Mpitimbi, Dareda , Malinyi au Kibondo? kwani Mwanza we umewahi kufika au umeona picha tu za mnara wa samaki kwenye mji mdogo unaoitwa Jiji?

Mwanza ina Barabara za maana mbili tu Kenyatta na Nyerere!! mji mzima magari yanazigombania!!

Barabara muhimu za kuunganisha mji kupunguza foleni na kujivunia jiji zote bado ni za vumbi tangu ukoloni

mfano

1.Kisesa to Buhongwa kupitia Kakebe sijui machinjioni huko kwenda kanyerere sijui Maina hadi kuungana na Kenyatta road kwenda Buhongwa na Nyashishi ni mavumbi tu yanatimka na mashimo tu lami haina tangu ukoloni sidhani kama hilo eneo lina mbunge mwenye akili au nia ya kujali watu waliozoea kula mavumbi!!

2. Barabara kutoka Butimba kona kwenda Sweya ni muhimu ila ni ya mavumbi matupu na mashimo lami hamna tangu ujima

3. Barabara kutoka Kisesa kwenda Kayenze ni ya muhimu kuelekea visiwani nayo ni ya mavumbi na mashimo lami haina tangu uhuru

4. Barabara ya Kutoka Airport kwenda Igombe ni mavumbi matupu na mashimo lami haina

Binafsi huwa sielewi na nachukia Mwanza kuitwa Jiji maana sijui ina vigezo gani vya kuitwa Jiji!!

Mavumbi yanatimka tu mji mzima!! Barabara ni mbili tu za lami!

Hali ni ngumu sana viwanda hakuna business kubwa ni dagaa na samaki tu tena vina msimu!

Mji mzuri kutokana na ziwa ila hauna miundombinu ya utalii wazungu wa kuhesabu!

Hebu wahusika wa Tanroads oneni aibu wekeni lami Feeder Roads zote mji ufanane kuitwa Jiji
 
Hiyo mikoa yote unayosema tunaipiga chin kwa mapato, sasa huon kama tuna la kujifunza kuwa mby inabaguliwa? Au zile barabara za mwanza na arusha ni za watu binafsi?????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Boss ni Mwanza ipi unayosema Mwanza ya Somalia, Karagwe, Mpitimbi, Dareda , Malinyi au Kibondo? kwani Mwanza we umewahi kufika au umeona picha tu za mnara wa samaki kwenye mji mdogo unaoitwa Jiji
Mkuu asante kwa kutusemea, kwa hiyo Mwanza ivuliwe hadhi ya jiji na kuwa mji mdogo wa Mwanza au Mwanza TCπŸ™πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…