Butimba kona adi huko butimba ttc si kuna lami kabisaa 5km. Pia buhongwa adi nyashishi mbona kuna lami pia barabara ya makongoro ambayo ni njia nne mbona hujaihesabu🤣🤣🤣.Boss ni Mwanza ipi unayosema Mwanza ya Somalia, Karagwe, Mpitimbi, Dareda , Malinyi au Kibondo? kwani Mwanza we umewahi kufika au umeona picha tu za mnara wa samaki kwenye mji mdogo unaoitwa Jiji...
ILe ya Makongoro ya njia nne mi naihesabu kama Kenyatta road toka Buhongwa tu Airport ndo maana sikuihesabu!!Butimba kona adi huko butimba ttc si kuna lami kabisaa 5km. Pia buhongwa adi nyashishi mbona kuna lami pia barabara ya makongoro ambayo ni njia nne mbona hujaihesabu🤣🤣🤣...
wahusika wanajua nimesema ukweli na barabara nilizowatajia huwa wanapita na magari na kuwatimulia raia vumbi!!Butimba kona adi huko butimba ttc si kuna lami kabisaa 5km. Pia buhongwa adi nyashishi mbona kuna lami pia barabara ya makongoro ambayo ni njia nne mbona hujaihesabu🤣🤣🤣...
Kumbe ata kenyata road huijui mkuu, kenyatta road ni barabara inayoenda shinyanga adi Dar na inaanzia pale Mwanza zero, nyerere road ni barabara inayoenda musoma adi Nairobi.ILe ya Makongoro ya njia nne mi naihesabu kama Kenyatta road toka Buhongwa tu Airport ndo maana sikuihesabu!!
...
ujumbe umefika habari ya kuvurugwa ni kweli jina kubwa mji mdogo vumbi tupuKumbe ata kenyata road huijui mkuu, kenyatta road ni barabara inayoenda shinyanga adi Dar na inaanzia pale Mwanza zero, nyerere road ni barabara inayoenda musoma adi Nairobi.
Je kuna uhusiano gani kati ya makongoro road na kenyatta road? utakuwa umevurugwa sio bure.
Unataka kila eneo lipitiwe na barabara ya lami kwa huko Dar hakuna sehemu zenye vumbi? Kuwa muungwana na ushukuru kwa kidogo na kaa ukijua serikali inaangalia majiji mawili ya Dar na Dodoma hizo barabara za mitaa kuja kufikiwa sio leo, pia kuna mradi wa tactic utapunguza adha ya vumbi kwa barabara za mwanza mf. Kutoka Buhongwa adi igoma kupitia kishiri 14km, pia barabara ya nyamongholo adi buswelu 9.5km pia na hiyo ya mkuyuni adi nyakato kupitia mahina na kanyerere.wahusika wanajua nimesema ukweli na barabara nilizowatajia huwa wanapita na magari na kuwatimulia raia vumbi!!
Mtu ukiwa Dar ukaambiwa unaenda Jijini Mwanza unarukaruka ukifika jiji hulioni mavumbi tupu yanatimka unapotoka tu kwa hizo two main roads Kenyatta na Nyerere!!
This is purely an opinion of an outsider from Mara!Unataka kila eneo lipitiwe na barabara ya lami kwa huko Dar hakuna sehemu zenye vumbi? Kuwa muungwana na ushukuru kwa kidogo na kaa ukijua serikali inaangalia majiji mawili ya Dar na Dodoma hizo barabara za mitaa kuja kufikiwa sio leo, pia kuna mradi wa tactic utapunguza adha ya vumbi kwa barabara za mwanza mf. Kutoka Buhongwa adi igoma kupitia kishiri 14km, pia barabara ya nyamongholo adi buswelu 9.5km pia na hiyo ya mkuyuni adi nyakato kupitia mahina na kanyerere.
Otherwise utakuwa unayako unayoyatafuta.
Haya nitajie jiji lako lilikloamilika kwa miundo mbinu ya barabara hapa Tanzani, kiufupi wewe ni mpumbavu, nimepoteza muda kukujibu,mtu mwenye chuki na wivu wako binafsi.ujumbe umefika habari ya kuvurugwa ni kweli jina kubwa mji mdogo vumbi tupu
mi fala bin farasi ila ukweli unauma sindano na dawa vimeingia. mi si wa Mwanza boss ni kweli ndo maana nimeona mapungufu yenu kwetu Mara tunakula kichuli!Haya nitajie jiji lako lilikloamilika kwa miundo mbinu ya barabara hapa Tanzani, kiufupi wewe ni mpumbavu, nimepoteza muda kukujibu,mtu mwenye chuki na wivu wako binafsi.
Kiufupi wewe ni fala usiyejitambua na wala huijui Mwanza pili mwanza huwa haina watu mapopoma wenye akili za panzi kama zako.
Vichache ulivyoandika vinaukweli ila Mbeya bado wanalakujifunza Mwanza , Mwanza naifahamu vizuri sana mkuu huwez nidaganya hata kidogo unaweza kwenda Buhongwa kutoka kisesa ukapitia bypass ya usagara hiyo ni lami, ukienda Buswelu waweza pitia sabasaba au kule national njia zote ni lami.Boss ni Mwanza ipi unayosema Mwanza ya Somalia, Karagwe, Mpitimbi, Dareda , Malinyi au Kibondo? kwani Mwanza we umewahi kufika au umeona picha tu za mnara wa samaki kwenye mji mdogo unaoitwa Jiji?
Mwanza ina Barabara za maana mbili tu Kenyatta na Nyerere!! mji mzima magari yanazigombania!!
Barabara muhimu za kuunganisha mji kupunguza foleni na kujivunia jiji zote bado ni za vumbi tangu ukoloni
mfano
1.Kisesa to Buhongwa kupitia Kakebe sijui machinjioni huko kwenda kanyerere sijui Maina hadi kuungana na Kenyatta road kwenda Buhongwa na Nyashishi ni mavumbi tu yanatimka na mashimo tu lami haina tangu ukoloni sidhani kama hilo eneo lina mbunge mwenye akili au nia ya kujali watu waliozoea kula mavumbi!!
2. Barabara kutoka Butimba kona kwenda Sweya ni muhimu ila ni ya mavumbi matupu na mashimo lami hamna tangu ujima
3. Barabara kutoka Kisesa kwenda Kayenze ni ya muhimu kuelekea visiwani nayo ni ya mavumbi na mashimo lami haina tangu uhuru
4. Barabara ya Kutoka Airport kwenda Igombe ni mavumbi matupu na mashimo lami haina
Binafsi huwa sielewi na nachukia Mwanza kuitwa Jiji maana sijui ina vigezo gani vya kuitwa Jiji!!
Mavumbi yanatimka tu mji mzima!! Barabara ni mbili tu za lami!
Hali ni ngumu sana viwanda hakuna business kubwa ni dagaa na samaki tu tena vina msimu!
Mji mzuri kutokana na ziwa ila hauna miundombinu ya utalii wazungu wa kuhesabu!
Hebu wahusika wa Tanroads oneni aibu wekeni lami Feeder Roads zote mji ufanane kuitwa Jiji
nyie piganeni na ukweli tu! mi nawasaidia kuboresha mji wenu!Vichache ulivyoandika vinaukweli ila Mbeya bado wanalakujifunza Mwanza , Mwanza naifahamu vizuri sana mkuu huwez nidaganya hata kidogo unaweza kwenda Buhongwa kutoka kisesa ukapitia bypass ya usagara hiyo ni lami, ukienda Buswelu waweza pitia sabasaba au kule national njia zote ni lami.
Kutoka Nyegez kina mpk malimbe kote huko ni lami na sasa wanaendelea na ujenzi had Luchelele huko, ukitaka kwenda nyasak waweza pitia njia ya buzuruga au kupitia pasias kote huko ni lami. Hata maeneo ambapo hawajaweka lami wamejenga kwa mawe..
Kuhusu buashara ya dagaa na samaki kuwa ya msimu huo pia ni uongo mtupu labda uweke ufafanuzi nami tafafanua.
Utapoteza muda kubishana na popoma, yupo hapa kufanya propaganda mbaya dhidi ya jiji la Mwanza.Vichache ulivyoandika vinaukweli ila Mbeya bado wanalakujifunza Mwanza , Mwanza naifahamu vizuri sana mkuu huwez nidaganya hata kidogo unaweza kwenda Buhongwa kutoka kisesa ukapitia bypass ya usagara hiyo ni lami, ukienda Buswelu waweza pitia sabasaba au kule national njia zote ni lami.
Kutoka Nyegez kina mpk malimbe kote huko ni lami na sasa wanaendelea na ujenzi had Luchelele huko, ukitaka kwenda nyasak waweza pitia njia ya buzuruga au kupitia pasias kote huko ni lami. Hata maeneo ambapo hawajaweka lami wamejenga kwa mawe..
Kuhusu buashara ya dagaa na samaki kuwa ya msimu huo pia ni uongo mtupu labda uweke ufafanuzi nami tafafanua.
Mtu sijui katoka wapi anakuja kutema ushuzi et mwanza inaviwanda vya dagaa na samaki tu🤣🤣Vichache ulivyoandika vinaukweli ila Mbeya bado wanalakujifunza Mwanza , Mwanza naifahamu vizuri sana mkuu huwez nidaganya hata kidogo unaweza kwenda Buhongwa kutoka kisesa ukapitia bypass ya usagara hiyo ni lami, ukienda Buswelu waweza pitia sabasaba au kule national njia zote ni lami.
Kutoka Nyegez kina mpk malimbe kote huko ni lami na sasa wanaendelea na ujenzi had Luchelele huko, ukitaka kwenda nyasak waweza pitia njia ya buzuruga au kupitia pasias kote huko ni lami. Hata maeneo ambapo hawajaweka lami wamejenga kwa mawe..
Kuhusu buashara ya dagaa na samaki kuwa ya msimu huo pia ni uongo mtupu labda uweke ufafanuzi nami tafafanua.
Kuna ya Julai 2021 hadi June 2022Sio 45bln ilikuwa 42bln ,soma hii attachment 👇
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya ni muongo ndiye alitoa taarifa za kisushi na mimi nikanukuu..Kuna ya Julai 2021 hadi June 2022
View attachment 2312212
Si unawafahanu tena Wanasiasa!Mkuu wa Mkoa wa Mbeya ni muongo ndiye alitoa taarifa za kisushi na mimi nikanukuu..
Anatakiwa kutoka hadharani na kuomba radhi.
Weka na viambatanisho vya makusanyo ya Sasa hivi.Si unawafahanu tena Wanasiasa!
Ndio maana waungwana wanakwambia Mwanasiasa akikwambia habari za usiku inabidi utoke nje ujiridhishe kweli huu muda ni usiku.
Kuna attachment kuna mtu ameiweka inaonyesha hayo ni makusanyo ya kuanzia Julai 2021 hadi Machi 2022, hapo bado kuna miezi 3 haijaweka, inawexeka hiyo miezi 3 ilipowekwa kuna mikoa wamekusanya zaidi wakaipiku Mbeya.
Nimeiweka tena hapa.
View attachment 2312329
Siku hizi watu wengine hutumia takwimu kupotosha kwa malengo ya kisiasa au ushabiki wa kijinga tu.Kuna mapato ya aina nyingi Sana ila kwa kuwa wewe ni mjinga ndio maana unauliza hivyo,ngoja nikutoe ujinga Kwa kukupa elimu.
Hayo ni mapato ya ndani ya Halmashauri,kuna mapato ya TRA na Wizara na Idara na Taasisi mbalimbali za serikali.
Ukijumlisha hayo Kwa pamoja Unapata mapato ya Mkoa Kitaifa na yakiwekwa kwenye monetary terms ndio huitwa GDP ya Mkoa ambako Mbeya ni namba 3 Kitaifa inachangia Til.8 plus.
Najua umeandika haya kwa utani tu,hauwezi kuwa siriasi...ila kwa kuwa jukwaa hili ni la Mambo siriasi,na Mimi nimechukulia siriasi Hadi nimeamua kukunukuu.Japo kuwa Mbeya tunatengwa sana na serikali lakini tumekubali kujiendesha wenyewe na watakoma.
Haiwezekani eti Mbeya nzima hakuna fly over pale Mafiat na Uyole (hayo maeneo ni lazima fly over ziwepo mpaka mbalizi kule wajenge fly over).
Eti leo hii dodoma ni kuzuri kuliko Mbeya si ni matusi haya?
Kwa asilimia kubwa majengo yote makubwa unayoyaona Mbeya tumeyajenga raia wenyewe bila mkono wa serikali(Ndiyo si wametutenga?)
Huku Tukuyu tukigoma kuleta ndizi, Maparachichi, Mchele sijui huko wanakuita mjini watashindia madafu au vipi..!!!
Huko kwenye mafly over hakika nawaambia watakusanya kodi kwenye hizo hizo fly over zao (Maana wanavyopita juu kule eti wanapiga na picha)
Tuna ziwa letu Matema Beach pale tunakula samaki wa kila aina "What else?"
Ganja tunavuta ya Mlima Rungwe na malawi hatuhitaji ya mikoani "What else?"
Na tuna mpango wa kuanzisha serikali yetu tusiingiliane na mkoa wowote ule tanzania maana kila kitu tunacho "What else?"
MBEYA CITY STAND UP.
Mama, We love youNawasalimu kwa jina la JMT, natumai Kazi zinaendelea.
Mkoa wa Mbeya umevunja rekodi ya Makusanyo yake ya mapato ya ndani Kwa Halmashauri zake 7 Kwa kukusanya bil.45 sawa na zaidi ya asilimia 105.6% ya malengo.
Hayo yameelezwa na Mkuu wa Mkoa was Mbeya Juma Homela kwa Waandishi wa Habari na kuzipongeza Halmashauri za Mkoa huo pamoja na Sektetatieti ya Mkoa ikiongizwa na RAS wa Mbeya.
Kila Halmashauri imevuka malengo waliyopangiwa na Serikali hivyo kuziwezesha kutoa huduma na kutekelezwa Kwa miradi iliyopangwa kwa asilimia 100.
My Take:
Hii ndio maana Halisi Sasa ya Kufungua Nchi na Sasa matunda yanaonekana baada ya biashara mpya kuzidi kufunguliwa.
Hongera sana kwa serikali ya Rais Samia.👇
View attachment 2296133View attachment 2296134