Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 6,976
- 7,726
Butimba kona adi huko butimba ttc si kuna lami kabisaa 5km. Pia buhongwa adi nyashishi mbona kuna lami pia barabara ya makongoro ambayo ni njia nne mbona hujaihesabu🤣🤣🤣.Boss ni Mwanza ipi unayosema Mwanza ya Somalia, Karagwe, Mpitimbi, Dareda , Malinyi au Kibondo? kwani Mwanza we umewahi kufika au umeona picha tu za mnara wa samaki kwenye mji mdogo unaoitwa Jiji...
Umenifurahisha sana kusema mwanza ina barabara mbili pia haina viwanda ata kipofu atashangaa kwa hili.
Labda hiyo barabara ya kuanzia airport adi igomba pamoja na ya kisesa adi kayenze japo kisesa ipo nje ya jiji.
Wahusika wamekusikia.