Mkoa wa pwani ugawanywe ili kuongeza upatikana wahuduma kwa wananchi

Jifunzeni mipango miji ya kisasa.

Arusha tumeigawa na tukapata manyara je imesaidia nini kwenye uchumi ?

Kwa taarifa yenu hiyo mikoa waliigawa kisiasa TU, hakuna cha maana zaidi ya kuongeza gharama local government na bureaucracy TU.

Tanzania mipango miji ya kisasa Bado tuko nyama sana
 
Kugawa mkoa kuna uhusiano gani na mipango miji

Uzi hauhusu mipango miji

Na hakuna mtu ambaye ameongelea mipango miji kama mimi

 
Huduma zipi hizo zinashindikana kupatikana kwa sasa hadi kugawa mkoa? Kugaw mikoa na wilaya ni mambo ya ulaji tu, hakuna cha maana.

Nchi imejaa wananchi wajinga wajinga sana badala wawaweze vitu vinavyo gusa maisha yao moja kwa moja wanawaza kuwatafutia wanasiasa ulaji.
 
Watanzania ni watu wenye IQ ndogo sana na uthibitisho mmoja ni huko kufikiria maendeleo yanakuja kwa kuongeza mikoa na wilaya
Kabisa, badala ya kusema Dar iunganishwe na pwani iwe mkoa mmoja wanawaza ujinga.

Mkoa wa Manyara uligawanywa kutoka Arusha, ila hadi leo zile wilaya za mkoa wa Manahara ukitoa Babati hizo zingine ni choka mbaya sana hakuna wanacho faidi
 
Unachekesha, sasa, nchi ni masikini kwa sababu ya gharama kubwa za kuendesha nchi hasa za kiutawala, huko ndio pesa zinako potelea, na wewe una shadadia ziongezwe tena
 
Ni afrika pekee mtu akija na mawazo ya maendeleo anaambiwa aende sober
Mnataka wote tu-discuss habari za umbea na kuponda viongozi na uzindaki ndo kipimo chenu cha akili
Pole sana
Hii yako sio Habari za maendelo ni ujinga fulani, maendelei alie kudanganya ni kugawa mikoa ama wilaya ni nani? Kwa akili zako unaona kabisa hapa kuna maendeleo? Una IQ ndogo sana wewe
 
Naunga mkono hoja hii πŸ‘βœ…
 
Kabisa, badala ya kusema Dar iunganishwe na pwani iwe mkoa mmoja wanawaza ujinga.

Mkoa wa Manyara uligawanywa kutoka Arusha, ila hadi leo zile wilaya za mkoa wa Manahara ukitoa Babati hizo zingine ni choka mbaya sana hakuna wanacho faidi
Kwamba mkoa wa Arusha usingegawanywa hizo wilaya zingeendelea
 
Naunga mkono hoja
 
Sasa mkuu unagawa maeneo bila kuwa na mipango miji ya kisasa, Sasa hayo maendeleo ya Hilo eneo unalotaka kuligawa uta ya implement vipi ?.
 
Sasa mkuu unagawa maeneo bila kuwa na mipango miji ya kisasa, Sasa hayo maendeleo ya Hilo eneo unalotaka kuligawa uta ya implement vipi ?.

 
Sio kila mahali ni pakuanzisha mkoa,wilaya, kata, ili watu waishi.

Mfano MTU anakuambia ukitoka dar kuja moro Kuna mapori mengi hayana watu, akijua kwamba kila sehemu ya Nchi hii panatakiwa kuanzisha makazi, kumbe sio ukweli.

Mji unapangwa kuangalia maeneo ya kilimo, ufugaji, uvuvi, mining, udongo kupimwa,(Earth science Yan πŸ˜‚)kuangalia wapi panafaa kwa ujenzi wa nyumba za wananchi, viwanda, maeneo ya hifadhi, wapi tutaweka Kambi za kijeshi , ujenzi wa mawasilioano na muindombinu.

Mfano Kuna MTU hapo juu anasema mkoa wa Moro, ni mkubwa so ufanyiwe partitions

Mnauona mkoa wa Moro mkubwa coz mna concepts za kila sehemu ni za kuishi

Mfano jakaya aliwai sema mkoa wa Moro uwe ghala la taifa, ndio baada ya kufanya research, mfano gairo udongo wake unafaa kwa kilimo cha viazi ulaya so Kuna kuwa na uwekezaji mkubwa large scale scheme ya kilimo,coz soko ni uhakika ndani na nje ya Nchi, pia ufugaji wa kuku au mbuzi unafaa kwa life cycle ya kilimo cha viazi ulaya kwa ajili ya kupata mbolea ,
Kilombero tuongeze uzalishaji wa miwa ili kuongeza mahitaji ya sukari Nchi, pia wanaweza kuweka na mifugo kwa ajili ya chakula na mbolea.

Kilosa , kilimo cha mahindi or mpunga in large scale pia wanaweza kuweka na mifugo.
Mvomero napo kuwa na large scale ya kilimo cha mpunga baada ya kufanya tafiti za udongo na maji , Hali hewa..

So municipal ina kuwa ni Moja Moro mjini ambapo huduma zote za jamii zinakuwepo, ambapo ule Uzi wako wa private sectors kuhusika kwenye implementation ya mipango miji ya kisasa, badala ya kuuwaachia madalali kuuza viwanja,

hii itasaidia taasisi za serikali kufanya KAZI kwa welidi, mfano kukusanya Kodi vizuri, na kuimarisha ulinzi na usalama

Coz huwezi kwenda kujenga huduma za kijamii mvomero, kilombero,kilosa,gairo wakati hapa municipal hizo huduma zinapatikana kwa manati.

Utawasikia wabunge , wakisema jimboni kwangu hakuna barabara, shule ya secondary etc ukija kuangalia Hilo jimbo lilitakiwa kuwa pori la akiba or , large scale scheme agriculture, or mining sites, or industrial zones, etc

Mwisho wake mjini na kijijini hapajulikani kote Kuna fanana, mfano mbeya wanalamika hakuna muindombinu mizuri, Sasa unajenga muindombinu mizuri shambani ya KAZI Gani ?

Mipango miji ya kisasa ni muhimu kwa uchumi ,kuliko kitu chochote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…