mkuu kuna short run cost na long run cost, pia visible na invisible benefits, lakini kuna direct na indirect benefits, hili umeliona kabla hujaongea chochoteHizo fedha za kujengea ofisi, kuwalipa mishahara wafanyakazi wa mkoa mpya(hapo akiwemo DC ,mkurugenzi ,RAS na mashangingi wapewe na yajazwe mafuta)
Fedha hizo wapelekewe maendeleo wana Tabora.
So kuugawa mkoa naona kama ni gharana zisizo na ulazima.
Wazo zuri. Ila mi huwa nawaza kwanini hili linchi lisiuzwe? Tugawane hela kila mtu asepe anapojua.Kwa nini tugawe mikoa Kila mara na tusigawe nchi !??
na hii inaweza kuwa sababu mkuuShida ni wana Tabora wenyewe kwanza wamekaa kisltani sana, yaani wameridhika hawataki kujituma umwinyi mwingi sana Tabora, sijui kwa nini viongozi wanaacha kuwachangamsha.
machungwa ndio malimao mkuuWazo zuri. Ila mi huwa nawaza kwanini hili linchi lisiuzwe? Tugawane hela kila mtu asepe anapojua.
Sio kuna taratibu zakeTatizo hapa kwetu mikoa inagawanywa kisiasa sana
Kwa kukutajia hiyo list, nikitaka utambuwe kwamba chato ninaifahamu nje/ndani please
Hizi bangi hizi za mtu mweusi,hakuna tija ya kiuchumi ya kugawa mkoa,Kwanza haiingezi kipato kwa nchi, zaidi inaongeza matumizi tu, RC, DED.Ukiuangalia mkoa wa Tabora utagundua ni mkubwa mno kieneo hata kiwilaya kuna Urambo, Kaliuwa, Nzega, Igunga, Manonga, Sikonge, Uliankuru na kadhalika, itafaa ukigawanywa.
Na mimi labda nitabahatisha ukuu wa mkoa.
Ukigawa mkoa usimamizi unakuwa rahisi na shida za wananchi inakuwa rahisi kutatuliwa,Leo tabora kumuona Rc kama unashida ni kazi chukulia mtu atoke Igunga hadi Tabora huoni ni mbali?Hizi bangi hizi za mtu mweusi,hakuna tija ya kiuchumi ya kugawa mkoa,Kwanza haiingezi kipato kwa nchi, zaidi inaongeza matumizi tu, RC, DED.
Cha muhimu mungewaza kwamba viwanda vya kutengeneza matairi ya gari, au viwanda vya nondo au saruji, au sukari havitoshi, tuongeze viwe vingi, ili tutengeneza mapato, nyie mnawaza kuteuliwa. Bora kuongeza hospitari, vyuo vya Elimu ya juu, au kufungua campus ya UD mkoani Tabora, au Bora mseme, hatuwezi kutegemea mvua kwa kilimo, sasa tuje na mpango wa kutumia maji ya ziwa victoria kufanya umwagiriaji.
Mkoa wa Tabora, unatumia maji ya victoria, lakini na yenyewe ni mgao,maana mkoa hauna mapato ya kuwezesha kutembwza pump 24/7.
Hakuna faida ya kuongeza mkoa, ukisema unasogeza huduma kwa jamii, kwani eneo linaongezeka? Geographical area ipo vile vile, kuongeza mkuu wa mkoa. Kuna msaidia vipi mwananchi wa kawaida, sie hatutski kuona sura, tunataka huduma, vituo vya polisi, barabara, Elimu, afya.
Mikoa inayo takiwa kuigawa ni
1. Morogoro
2. Tabora
Hiyo ni kweli upo deep kakaTabora ni almost mara tatu ya nchi ya Rwanda kwa ukubwa.
Lengo ni usimamizi na ukaribu wa hudumaLengo sio maendeleo lengo ni teua tengua na kuweka madarakani watu wako...... Mkoa au wilaya ipi imeendelea baada ya kugawanywa?
Ukigawa mkoa usimamizi unakuwa rahisi na shida za wananchi inakuwa rahisi kutatuliwa,Leo tabora kumuona Rc kama unashida ni kazi chukulia mtu atoke Igunga hadi Tabora huoni ni mbali?