CHEF
JF-Expert Member
- Nov 4, 2013
- 222
- 122
Ni kweli mkuu!Usifikiri hayo mapori hayana watu ?
Sisi Tabora hatujabanana kama nyinyi huko kwenu Kilimanjaro au huko kwenye ukame usioisha Shinyanga.
Humo unapoona ni mapori kuna makazi ya watu na ni mashamba ya watu tunalima, tunafuga, ng'ombe na Nyuki unataka nyuki tuwafugie chumbani ?