Mkoa wa Tabora kugawanywa na kuwa mikoa miwili

Mkoa wa Tabora kugawanywa na kuwa mikoa miwili

Unataka ugawe mkoa ili wakuu wa mikoa waongezeke, Wananchi tumechoka kuwa na wakuu wa mikoa wa ajabu ajabu
 
Toa takwimu za mkoa kuhusu eneo lake, idadi ya watu, miundombinu ya usafiri (barabara, reli na ndege) na maeneo ya hifadhi (Misitu na wanyamapori) kupata ulinganifu na mikoa mingine yenye sifa kama za mkoa wa Tabora
1572517034723.png
 
1572517327553.png
 
YES ila mfumo huu ni sisi wenyewe tumeuweka,maana toka day one ya uhuru wetu tumeruhusu status ago iendelee,kweli kulikuwa na umuhimu wa nchi yetu iwe na mikoa zaidi ya 30?ya nini yote hii,mimi nimetokea makete Iringa ,je kulikuwa na umuhimu wa kuigawa wilaya ya Njombe mara Tatu?yaani Ludewa,Njombe,Makete?je tumeendelea zaidi ya kuwa na wilaya hizi tatu badala ya kuwa na Njombe pekee?je pesa zinazolipwa kwa watumishi wa makete,ludewa kuanzia ma DC hadi DED zisingeweza tumika kujenga mashule na hosp nzuri zaidi?halafu hadi leo kuna mtu ambaye ni middle class bado ana mawazo kama haya ya kugawanya nchi eti kuwa ndio kichocheo cha kuleta maendeleo!!,nimetulia huku Lingusenguse ninavua tu.
Mkuu sisi tunaanzia hapa tulipo achiwa halafu tunaendeleza huko nyuma watu pia walikuwa na akili na busara zao ndio maana wakafanya walioyafanya na mambo yakaenda, sisi tuanzie hapa tulipopakuta
 
Santeeee na majimbo yatakuwa
1.jimbo la kusini (utajumuisha mikoa mingapi kuunda jimbo hili ? )
2.jimbo la kaskazi (utajumuisha mikoa mingapi ili kuunda jimbo hili ?)
3.jimbo la mashariki(utajumuisha mikoa mingapi ili kuunda jimbo hili ?)
4.jimbo la magharibi(utajumuisha mikoa mingapi ili kuunda jimbo hili ?)

Hii inapunguza ukubwa wa serikali kwa kuwa na utitiri wa wakuu wa mikoa
Nalog off
sawa mkuu
 
Kwa akili ya chama hiki tusubir ugawanywe wazidi kutengenezeana ajira wao kwa wao
Ajira ni kazi pia ya serikali, kuhakikisha inapanua wigo wa ajira lakini pia wananchi watanufaika
 
Kwa maana ya Jiografia, mikoa ya Tabora, Morogoro, Ruvuma na Lindi inastahili kugawanywa. Lakini tunaweza kufanya makosa kama yaliyofanyika kugawa mikoa ya Rukwa na Iringa.

Mikoa mipya ya Njombe na Katavi zimeshindwa kuleta tija kiuchumi na kijamii. Na hii ni kwa sababu ya nature ya tawala za mikoa Tanzania. Utawala wa Tanzania tunahitaji kuwa na Halmshauri siyo mikoa wala wilaya.
una akili sana.
 
Mkuu mara ya mwisho kufika Tabora ni lini? maana inawezekana hata ulifika au haujatembelea mkoa wote
Naifahamu Tabora yote boss nje ndani.
Nilishawahi pia kuishi kaliua kipindi cha miaka 2 iliyopita; kuna vijiji kama mwendakulima, bunyahyulu (barabara ya 13), imalanguzu, mwamnange n.k
Ninachokijua kuna idadi ya watu ni wengi japo sio sana.
Ila maeneo yote ya Tabora kwa asilimia kubwa ni mapori brother kwa uhalisia.
 
Mkuu mara ya mwisho kufika Tabora ni lini? maana inawezekana hata ulifika au haujatembelea mkoa wote
Kwani uongo bwana? Asilimia kubwa ya mkoa wa tabora ni hifadhi ya misitu, haya kuanzia hapo itigi, kupitia tura, hadi tabora vijiji viko vingapi, kulinganisha na mapoli?, anzia tabora kwenda kahama kupitia, mwambani, bukene, anzia tabora kwenda katavi, kupitia ipole, ipole kwenda mbeya kupitia chunya, bado urambo kwenda kigoma?!!!
 
Naifahamu Tabora yote boss nje ndani.
Nilishawahi pia kuishi kaliua kipindi cha 2017; kuna vijiji kama mwendakulima, unyahyulu (barabara ya 13), imalanguzu, mwamnange.
Ninachokijua kuna idadi ya watu ni wengi japo sio sana waliovamia misitu miaka ya 1985-1990, 2005-2010-mpaka sasa.
Mfano wa hapo eneo ambalo lilikuwa rasmi ni Barabara ya 13 kwasababu walipewa kama hifadhi ya wakimbizi wa kirundi.
Ila maeneo yote ya Tabora kwa asilimia kubwa ni mapori brother acha mihemuko.
Mboka yetu.
 
Huo ndio ukweli mkuu!! Full mapoli, mimi nikiwa naenda huko huwa naaga wenzangu kuwa naenda poli tengefu!!!
 
Hayo machimbo yanaingiza mapato gani ?

Serikali yakijima imeharibu zao la tumbaku ikaleta pamba bila hata kufanya utafiti watu wanalima pamba haikui wadudu wakutosha
Nzega kuna machimbo ya madini, Igunga, uyui, urambo kuna kilimo cha pamba na Tumbaku, kama hivi vikiwekezwa kwa uhakika kuna kitu kitafanyika
 
Back
Top Bottom