Mkoa/Wilaya gani watu wake wanaongoza kwa uvivu...?

Mkoa/Wilaya gani watu wake wanaongoza kwa uvivu...?

greater than

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2018
Posts
1,764
Reaction score
3,230
Kuna msemo unaosema "Kazi ni kipimo cha utu",lakini dah,kuna mikoa wenyeji wake ni wavivu .

Pwani-wilaya ya Chalinze
Dodoma na Unguja.

Hizi sehemu tatu mimi zilibaki kunishangaza kwa kiwango cha uvivu nilichokiona

Ni mkoa/wilaya gani uliwahi kwenda ukakutana na wenyeji wavivu...?
 
Nliishi tunduru, siwezi sema kama ni uvivu ila wanaridhika na maisha ya chini au utamaduni tu,mpk leo watu bado wanajengea makuti, ardhi rutuba kibao ila wanaishia kulima mbaazi tu,pia madem zao wako easy nlikuwa nahonga 1k,2k apo demu anakuona wamaana kinoma+ plus wanapenda sn wageni aisee,ndio mana wakinga na wabena wameteka sn wilaya za ruvuma.
Hayo yalikuwa interesting kwangu.
 
Mvivu anakula kwa mama yako ? Mtu anavua usiku kucha , nenda sehemu za baharini uone watu wanavua usiku kucha ...Unategemea uwaona mchana wanafanya kazi tena zaidi ya kulala .

Kuna walinzi ambao wengi ni wazee..Ukionesha kiwand kilichokosa wafanyakazi na watu hawataki kwenda nakuonesgha sanda nyeusi. Mimi nimevua ,tunaita kuvuta nyavu , kila siku unarisk maisha bora hata kulima shamba . Kama unavyojua usiku , roho mkononi , waheshimu wadigo , wapemba na wavivu wa mwambao ;baharini kunatisha .​
 
Kuna msemo unaosema "Kazi ni kipimo cha utu",lakini dah,kuna mikoa wenyeji wake ni wavivu .

Pwani-wilaya ya Chalinze
Dodoma na Unguja.

Hizi sehemu tatu mimi zilibaki kunishangaza kwa kiwango cha uvivu nilichokiona

Ni mkoa/wilaya gani uliwahi kwenda ukakutana na wenyeji wavivu...?
Kuna utafiti ulifanywa na wakoloni wa kijerumani. Katika findings zao wakahitimisha kuwa wenyeji wa Tanganyika kwa asili ni wavivu. Hivyo kuwaondolea uvivu wakaja na hatua zifuatazo.
1. Kutoa adhabu kali za vikobo kwa wasiofanya kazi kwa mkoloni
2. Kuwalipisha kodi ya vijumba vyao vya udongo.
3. Kuwalipisha kodi ya kichwa.

Lakini vilevile wengine walisema watanganyika sio wavivu isipokuwa uwepo au upatikanaji rahisi wa mahitaji yao ndio uliowafanya wawe hivyo walivyo. Kwa hiyo kwa Tanzania ya sasa ukifuatilia jamii zinazoitwa za wavivu utagundua hawajawahi kuomba popote msaada wa chakula au mavazi ikimaanisha kwa mfumo wao wa maiisha unajitosheleza kupata mahitaji yao ya muhimu na lazima.
 
Unajitambua sana, tukipata vijana kama wewe sita basi tunafika mbali ..Mimi nasikia hivyo , eti kuna watu wavivu mara pwani .

Basi kama kuna vijana wanaanza mapambano ya maisha mapema basi ni pwani , yaani unaweza kukuta kijana na miaka 17 eti anatafuta maisha na kuoa juu . Hii nimezunguka sana sehemu kama Dar , Mwanza na Mbeya ila sijaiona kabisa . Nilijichanganya kwenda kupiga nyavu na enzi hizo nilikuwa nimealiza six , duh niwaheshimu mpaka kesho wale jamaa ;hiyo kazi kila siku unauza roho ,halafu kuna wachuuzi na madalali wapaiga pesa sawa na wanaovua .

Mwaka jana nilifanya tafiti , nimezunguka viwanda vyote hapa Kwangu kuangalia kweli vijana hawataki kazi ila jibu ''NO'' . Kuna viwanda wanalipa pesa kidogo sana ila hapo watu wamejaaa kama wote , tena namba ya wanawake ni kubwa ila wanaume wengi wamekuwa bodaboda . kuna sehemu kunaitwa kwa ''Lyemba'' watu wa mkoaniwja na kuacha kazi ila wana wanapiga , huku unaweza kuugua TB ni chokaa mwanzo mwisho.

​
 
Usichanganye.
Kufanya kazi za nguvu na kufanya kazi zisizohitaji nguvu.
Ukawatuhumu wengine wavivu kisa ya tafsiri potofu.

Mfano, baadhi ya watu huamini kufanya kazi mpaka uvuje jasho. Jambo ambalo sio sahihi
 
Siyo kama nachanganya kufanya kazi kwa akili na kwa kutumia nguvu,,
Nazungumzia hali nzima ya kufanya kazi...
Yan,mtu anajituma leo,ukisha mlipa kesho haumuoni tena...mpaka afulie
 
Mnaoisema tanga, hembu nendeni na madera tuone kama hamjashika mimba, watu wa tanga wanafanya kazi smart, sio kila kazi inahitaji nguvu, chuki tu zinawatesa
 
Back
Top Bottom