Mkoa/Wilaya gani watu wake wanaongoza kwa uvivu...?

Mkoa/Wilaya gani watu wake wanaongoza kwa uvivu...?

Kuna msemo unaosema "Kazi ni kipimo cha utu",lakini dah,kuna mikoa wenyeji wake ni wavivu .

Pwani-wilaya ya Chalinze
Dodoma na Unguja.

Hizi sehemu tatu mimi zilibaki kunishangaza kwa kiwango cha uvivu nilichokiona

Ni mkoa/wilaya gani uliwahi kwenda ukakutana na wenyeji wavivu...?
Hapo Dar wazaramo ni wavivu balaa,
yaani wao ni kugombea kodi tu na urithi wa Baba yao aliyekufa.
 
Huo uvivu umeupimaje? Room mate wangu wa chuo ni mgogo. Yule binti sio mvivu
Huyo uliyemuona ni mmoja...mie nimekaa mwaka mzima Dodoma,tena mjini pale...
Dah,watu wanachagua kazi huku kipato ni cha kusuasua...
Ukimpa kazi anaifanya leo,ukimlipa kesho haji,atakupa sababu za kijinga...
 
Mkuu, huku pwani sisi sio wavivu wa kuzaa kama nyie bara alooo....
Kazi ngumu ndio tulisha muachia msukuma.
Kule Chalinze kwa Wakwere,watu wana heka za kutosha za mashamba lakini unakuta analima Robo heka,,,
Tena kilimo chenyewe mbegu ni zinatupwa tu.
 
Mnaoisema tanga, hembu nendeni na madera tuone kama hamjashika mimba, watu wa tanga wanafanya kazi smart, sio kila kazi inahitaji nguvu, chuki tu zinawatesa
Hata hizo za U-smart hazionekani,ndiyo maana jiji limedorora.
 
Kuna msemo unaosema "Kazi ni kipimo cha utu",lakini dah,kuna mikoa wenyeji wake ni wavivu .

Pwani-wilaya ya Chalinze
Dodoma na Unguja.

Hizi sehemu tatu mimi zilibaki kunishangaza kwa kiwango cha uvivu nilichokiona

Ni mkoa/wilaya gani uliwahi kwenda ukakutana na wenyeji wavivu...?
Mkuu kuna wilaya inaitwa Kisarawe, hiyo nadhani ndio wilaya ya kwanza kwa wakazi kuwa wavivu
 
Dar,hasa uswaz unakuta hawapiki msosi wa familia,wananunua vichwa vya kuku au miguu wanasukumizia na kacholi
 
Msichanganye Uvuvi na Uvuvi . Hayo maneno mawili yanafanana lakini ni tofauti sana kimaana.

Kuna mda kutokana uvuvi hufanyika usiku basi ukiwaona watu pwani wanacheza bao mchana unaona ni wavivu kumbe wenzako ni wavuvi
Matokeo ya kazi huonekana kwenye maendeleo ya sehemu husika.....
Sasa kwa Kisarawe na Chalinze,,wanavua bahari ipi mkuu...
 
Mvivu anakula kwa mama yako ? Mtu anavua usiku kucha , nenda sehemu za baharini uone watu wanavua usiku kucha ...Unategemea uwaona mchana wanafanya kazi tena zaidi ya kulala .

Kuna walinzi ambao wengi ni wazee..Ukionesha kiwand kilichokosa wafanyakazi na watu hawataki kwenda nakuonesgha sanda nyeusi. Mimi nimevua ,tunaita kuvuta nyavu , kila siku unarisk maisha bora hata kulima shamba . Kama unavyojua usiku , roho mkononi , waheshimu wadigo , wapemba na wavivu wa mwambao ;baharini kunatisha .​
Sasa kwa Watu wa Dodoma,Chalinze na Kisarawe ,wanaenda kuvua wapi...?

Na hapo kwenye kujitetea kwenye uvuvi ni uongo tu...kama Jamii nzima ni wavuvi,hizo samaki wanauzia akina nani..?
 
Mnaoisema tanga, hembu nendeni na madera tuone kama hamjashika mimba, watu wa tanga wanafanya kazi smart, sio kila kazi inahitaji nguvu, chuki tu zinawatesa
Hizo kazi smart ni zipi kiongozi...?
Ukweli unauma.
 
Hizo kazi smart ni zipi kiongozi...?
Ukweli unauma.
Sasa hapa pana ukweli gani? Kama sio chuki za udini?
Wagalatia mnauchukia sana uislam na kwa kuwa tanga ni inchi ya kiislam basi mnaiponda tu, hii fitina aliianza mchonga meno na ikafeli na itazidi kufeli sana tu

Kazi smart ni kama kipindi cha korona tu, watu walifanyia kazi nyumbani na mambo yakaenda smoothly
 
Hata hizo za U-smart hazionekani,ndiyo maana jiji limedorora.
Nimepita Tanga juzi kutokea msa, tuwe wakweli Tanga inabadilika sana sasa, yaani inarudi enzi zake za zamani, viwanda vinarudi kwa kasi na bandari inapiga kazi kwa kasi, matunda ya bidii na juhudi
Nyie endeleeni kukariri, hamuwezi kufanya watu wote wajinga wakati wote
 
Wazee wa kufunga Msuli na kukaa kibarazani...
Kutwa kunywa kahawa na kupiga stori,mwisho wa mwezi kusubiria kodi...
Wapo Msasani,Magomeni na Kinondoni
Sasa hilo ni kosa?
Kunywa kahawa, kuvaa msuli, kucheza bao au kusubiria kodi mwisho wa mwezi? Lipi kosa hapo?
 
Back
Top Bottom