greater than
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 1,764
- 3,230
Naomba namba yake mkuu, wandewa nimesha kuelewa...😋Huo uvivu umeupimaje? Room mate wangu wa chuo ni mgogo. Yule binti sio mvivu
Kashaolewa😂Naomba namba yake mkuu, wandewa nimesha kuelewa...😋
Kuna utafiti ulifanywa na wakoloni wa kijerumani. Katika findings zao wakahitimisha kuwa wenyeji wa Tanganyika kwa asili ni wavivu. Hivyo kuwaondolea uvivu wakaja na hatua zifuatazo.Kuna msemo unaosema "Kazi ni kipimo cha utu",lakini dah,kuna mikoa wenyeji wake ni wavivu .
Pwani-wilaya ya Chalinze
Dodoma na Unguja.
Hizi sehemu tatu mimi zilibaki kunishangaza kwa kiwango cha uvivu nilichokiona
Ni mkoa/wilaya gani uliwahi kwenda ukakutana na wenyeji wavivu...?
Kuna utafiti ulifanywa na wakoloni wa kijerumani. Katika findings zao wakahitimisha kuwa wenyeji wa Tanganyika kwa asili ni wavivu. Hivyo kuwaondolea uvivu wakaja na hatua zifuatazo.
1. Kutoa adhabu kali za vikobo kwa wasiofanya kazi kwa mkoloni
2. Kuwalipisha kodi ya vijumba vyao vya udongo.
3. Kuwalipisha kodi ya kichwa.
Lakini vilevile wengine walisema watanganyika sio wavivu isipokuwa uwepo au upatikanaji rahisi wa mahitaji yao ndio uliowafanya wawe hivyo walivyo. Kwa hiyo kwa Tanzania ya sasa ukifuatilia jamii zinazoitwa za wavivu utagundua hawajawahi kuomba popote msaada wa chakula au mavazi ikimaanisha kwa mfumo wao wa maiisha unajitosheleza kupata mahitaji yao ya muhimu na lazima.
Mbona hilo ni neno moja uliloliandika mara mbili mkuu?Msichanganye Uvuvi na Uvuvi . Hayo maneno mawili yanafanana lakini ni tofauti sana kimaana.
Nahisi Dodoma sio kwamba watu hawafanyi kazi au ni wavivu nahisi nilichokiona mimi ni kwamba wanachelewa tu kuamka ila kazi wanafanya vizuri sanaHizi sehemu tatu mimi zilibaki kunishangaza kwa kiwango cha uvivu nilichokiona