Failed stateShamba la bibi
Mikoba miwili inajenga matundu mangapi ya choo shule ya msingi!?Huu wa kwake utakuwa wa bei ya juu zaidi kwa sababu ni special order
Failed stateNgozi nyeusi ni laana. Haishangazi kuwakuta viongozi wake wakihangaika kuomba misaada huku wakiishi maisha ya kifahari kuliko hata ya wale wanao waomba misaada!
Bajeti ipo lakini pia imesaidia kutangaza biasha ya mabeberu kuliko kutangaza mabegi ya ngozi Original yanayotengenezwa gereza la Karanga Pale Moshi -Kilimanjaro.Kwa exchange rate ya leo, dola 1 ni takribani TZS 2,605.
$5,000 ≈ TZS 13,025,000 (milioni 13 na elfu 25)
View attachment 3587613
View attachment 3587614
Hayo matundu hao wanayatumia, kwani mnapopita kwenye foleni na barabatra zinazojengwa bila kuisha wao si wanapita mwendokasi kwa vingora?Mikoba miwili inajenga matundu mangapi ya choo shule ya msingi!?
hata hivyo mbona ni gharama ya kawaida tu gentleman 🐒Kwa exchange rate ya leo, dola 1 ni takribani TZS 2,605.
$5,000 ≈ TZS 13,025,000 (milioni 13 na elfu 25)
View attachment 3587613
View attachment 3587614
HIyo akili wanayo kweli!? Juzi kaletwa Drogba wakati tuna malegend wakina Bakar Mwanyeto.Bajeti ipo lakini pia imesaidia kutangaza biasha ya mabeberu kuliko kutangaza mabegi ya ngozi Original yanayotengenezwa gereza la Karanga Pale Moshi -Kilimanjaro.
Duh! Kodi za wananchi hizo lakini!Hayo matundu hao wanayatumia, kwani mnapopita kwenye foleni na barabatra zinazojengwa bila kuisha wao si wanapita mwendokasi kwa vingora?
Tunakumbatia mabeberu, wangechukua wachezaji walioleta heshma miaka ya 80 akina Manara , Hassan Haffidf, Peter Tino, Mwamedi Mwameja, Chuji badala ya kutuetea masanamu.HIyo akili wanayo kweli!? Juzi kaletwa Drogba wakati tuna malegend wakina Bakar Mwanyeto.
Hahahaha maisha kutesa kwa zamu.Mkwe wake anakula pazuri, anakojolea pazuri.
Kazi ni kipimo cha utu
Kila mtu ana ndevu.UKOO WA KAMBARE