Mkoba uliobeba karatasi za bajeti ya Afya ya mwaka ni Tsh. 13 million, mikoba miwili ni sawa na Tsh 26 million

Mkoba uliobeba karatasi za bajeti ya Afya ya mwaka ni Tsh. 13 million, mikoba miwili ni sawa na Tsh 26 million

Nchi ya hovyo hii wanaingia na mikoba ya fashion bungeni aisee hawaoni hapo kama Nchi tunamtangazia biashara huyo Louis bila kujitambua aisee kazi ipo hapa..
 
Kamuulize analipwa shingapi.

Vijana wajinga kama wewe hamna msaada wowote katika taifa hili.
Jamaa lijinga sana linadhani Mkoba huo ananunua Waziri kwa pesa zake mfukoni, Ndo maana huwa nasema CCM mtaji wao mkubwa ni vijana wajinga na wapumbavu kama hilo jamaa hapo.
 
Hivi kweli watanzania tumefikia hatua ya kujadili mkoba wa mtu! Ndugu zangu watanzania tuacheni chuki ni vema kukajikita kuibua hoja zenye mashiko ili taifa letu lisonge mbele.
 
Kumbe bado bajeti inaandikwa kwenye makaratasi tu?

"...mlitaka tubebe bajeti ya trillion kwenye shangazi kaja? " - wenyewe.
 
Hivi kweli watanzania tumefikia hatua ya kujadili mkoba wa mtu! Ndugu zangu watanzania tuacheni chuki ni vema kukajikita kuibua hoja zenye mashiko ili taifa letu lisonge mbele.
Wewe unadhani huo mkoba umenunuliwa kwa mshahara wa waziri? Hospital ngapi hazina dawa na vitanda wewe uko hapa unashabikia na kuona ni hali ya kawaida. Wewe uwe na akili nzuri na achana na mawazo yako duni yasiyo na tija.
 
Kwanza kuna haja gani ya kubeba makabrasha...

Hivi vitu vilipaswa kuwa kwenye device ya electronic ipo fixed kwenye mimbari...
 
Jamaa lijinga sana linadhani Mkoba huo ananunua Waziri kwa pesa zake mfukoni, Ndo maana huwa nasema CCM mtaji wao mkubwa ni vijana wajinga na wapumbavu kama hilo jamaa hapo.
Kijana hajitambui
 
Back
Top Bottom