- Thread starter
- #21
Ova.😄
Ova
Ova.😄
Ova
Unataka waziri mwenye kifua kipana atumie mikoba ya jktSumaJKT Leather Products wanatengeneza mabegi mazuri tu, sijui nilitaka kusema nini
Wezi dawa yao kuchomwa na moto wa matairi.Wanaishi paychecks-to-paychecks, wanawekewa bajeti za shopping mpaka za chupi na boxers kwa dolari kutoka kwa "World class manufacturers and brands" kwa pesa za walipa kodi. 😁
Wanatumia public jets kwenda Paris, Dubai au Bahrain kununua Mikoba, mikanda na vidani kwa pesa za serikali. Na kandarasi hizo zinalipwa na serekale kwa invoices. 😁
Katibu Mkuu Hazina ndie mwenye ku "endorse" hizo deals.
Hapo mmezugumzia mkoba tuu, hiyo suti inaweza kuwa Brion, Tom Ford au Kiton, sio ya pesa kidogo. Wezi ni watu werevu, wamemuua JPM ili watuibie. 😊
Mkwe wake (Huyo mama) anatuambia vijana tusichome nchi, tulinde amani na tunu za nchi wakati wenyewe wanaitafuna namna hiyo.
Fvck peace! ✌️
Kamuulize analipwa shingapi.Kwani waziri analipwa shillingi ngapi kwanza ndio tuanze kujaji bei ya mkoba
Hahahaha hii iwekwe kwenye kumbukizi.Ndio maana tukasema bila mabadiliko hakuna uchaguzi.
Hao wote walipo hapa sio wabunge maana hawakuchaguliwa ndio maana hawajali chochote maana uwepo wao hapo si kwa sababu ya wananchi bali fedha na mitutu ya bunduki waliyovishima vyombo vya dola kwa rushwa.
Huwezi kufyeka pori moja katika ya kumi ukafikiri utakua umewafukuza nyani, tiba ni kufyeka mapori yote kumi ndio utakua unaanza upya.
View attachment 3587646
Duh hapa tulipigwa na kitu kizito.Ndio maana tukasema bila mabadiliko hakuna uchaguzi.
Hao wote walipo hapa sio wabunge maana hawakuchaguliwa ndio maana hawajali chochote maana uwepo wao hapo si kwa sababu ya wananchi bali fedha na mitutu ya bunduki waliyovishima vyombo vya dola kwa rushwa.
Huwezi kufyeka pori moja katika ya kumi ukafikiri utakua umewafukuza nyani, tiba ni kufyeka mapori yote kumi ndio utakua unaanza upya.
View attachment 3587646
GT huu upuzi huwezi ukafanya huku.😄
Ova
Special order hiyoNa hajanunulia bongo, maana bongo hakuna maduka ya LV OG.
Anatatamba ma mkwe ana funguo za hazina..!!
Pamoja na kulipwa mshahara, huo mkoba, suti, na nguo zote, chakula, gari, nyumba, ... hulipwa kwa kutumia kodi kwa namna moja au nyingine.Kwani waziri analipwa shillingi ngapi kwanza ndio tuanze kujaji bei ya mkoba
Hiyo ipo kwenye kumbukumbu ndio maana ripoti ya CAG unaona mbuzi wamejipimia kwenye kamba ndefu.Hahahaha hii iwekwe kwenye kumbukizi.