Mkoba uliobeba karatasi za bajeti ya Afya ya mwaka ni Tsh. 13 million, mikoba miwili ni sawa na Tsh 26 million

Ngozi nyeusi ni laana. Haishangazi kuwakuta viongozi wake wakihangaika kuomba misaada huku wakiishi maisha ya kifahari kuliko hata ya wale wanao waomba misaada!

Mkoba kama huo angenunua kwa bei nafuu kutoka kwa Wamachinga au watengenezaji wa ndani angepungukiwa nini?
 
Wanaishi paychecks-to-paychecks, wanawekewa bajeti za shopping mpaka za chupi na boxers kwa dolari kutoka kwa "World class manufacturers and brands" kwa pesa za walipa kodi. 😁

Wanatumia public jets kwenda Paris, Dubai au Bahrain kununua Mikoba, mikanda na vidani kwa pesa za serikali. Na kandarasi hizo zinalipwa na serekale kwa invoices. 😁
Katibu Mkuu Hazina ndie mwenye ku "endorse" hizo deals.
Hapo mmezugumzia mkoba tuu, hiyo suti inaweza kuwa Brion, Tom Ford au Kiton, sio ya pesa kidogo. Wezi ni watu werevu, wamemuua JPM ili watuibie. 😊

Mkwe wake (Huyo mama) anatuambia vijana tusichome nchi, tulinde amani na tunu za nchi wakati wenyewe wanaitafuna namna hiyo.

Fvck peace! ✌️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…