Mkoba uliobeba karatasi za bajeti ya Afya ya mwaka ni Tsh. 13 million, mikoba miwili ni sawa na Tsh 26 million

Wezi dawa yao kuchomwa na moto wa matairi.
 
Mwakani au wakati mwingine tutaziba maneno ya brand. Wabongo hatuna jambo dogo kabisa[emoji1]
 
Ndio maana tukasema bila mabadiliko hakuna uchaguzi.

Hao wote walipo hapa sio wabunge maana hawakuchaguliwa ndio maana hawajali chochote maana uwepo wao hapo si kwa sababu ya wananchi bali fedha na mitutu ya bunduki waliyovishika vyombo vya dola kwa rushwa.

Huwezi kufyeka pori moja katika ya kumi ukafikiri utakua umewafukuza nyani, tiba ni kufyeka mapori yote kumi ndio utakua unaanza upya.
Your browser is not able to display this video.
 
Hahahaha hii iwekwe kwenye kumbukizi.
 
Duh hapa tulipigwa na kitu kizito.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…