Acha wafu wazike wafu wao.Kulinda hadhi ya chama hawa watu wawili hawakupaswa hata kusogelea ofisi ya chama
Ningekuwa muhusika nisingewapa hata fomu,ningewafukuza kama mbwa mwizi
Tulishamaliza pale Dodoma , ni mwendo wa kung'ang'ania tuWho is mkojani? Na fomu za urais ccm tunachukua lini?
Mrembo huchukui fomuMkojani na babu tale wana utofauti gani😁😁
Hapana kwa kweli nisije pata aibu kwa kupata kura mojaMrembo huchukui fomu
Kulinda hadhi ya chama hawa watu wawili hawakupaswa hata kusogelea ofisi ya chama
Ningekuwa muhusika nisingewapa hata fomu,ningewafukuza kama mbwa mwizi
Mmmh, mkuu uko sawa kweli? Kwani kuchukua fomu Kuna tatizo ganiKulinda hadhi ya chama hawa watu wawili hawakupaswa hata kusogelea ofisi ya chama
Ningekuwa muhusika nisingewapa hata fomu,ningewafukuza kama mbwa mwizi
😆😆😆😆Kulinda hadhi ya chama hawa watu wawili hawakupaswa hata kusogelea ofisi ya chama
Ningekuwa muhusika nisingewapa hata fomu,ningewafukuza kama mbwa mwizi
Zitakua 2Hapana kwa kweli nisije pata aibu kwa kupata kura moja
Mchakato ukitangazwa nafata fomu.Tulishamaliza pale Dodoma , ni mwenye wa kung'ang'ania tu