Mkojani na Dotto magari hawakupaswa kupewa fomu

Mkuu natangulia kukuambia, acha unyanyapaa, uonevu, chuki na ubaguzi dhidi ya watu wasio soma. Shida yako haijasababishwa nao.

Kwani Mkuu kazi ya mbunge ni kujenga magorofa na kuongea Kiingereza bungeni??!!

Katiba yetu imesema kila raia ana haki ya kuchagua na kuchaguliwa, katiba haikusema kila raia msomi ndiye anayestahili kuwa kiongozi, mbunge au muwakilishi wa wananchi.

Je, unavyo wasakama Mkojani na Dotto, wewe ndiye unayewalisha?? Je, una mashaka na uwakilishi, uongozi na usimamizi wa familia zao mbele ya jamii??

Je, wasomi unaofikiri ndio wanaostahili kuwasilisha wananchi, kwa uzoefu wa waliopita nini cha maana wamefanya toka tupate uhuru.

Je tuna katiba nzuri??

Je tumepiga hatua za maendeleo kiasi gani huku Afrika Mashariki na Kusini??

Je umasikini wa raia wetu umepungua kwa kiasi gani???

Je huduma zetu za jamii zina unafuu na ubora kiasi gani???

Je hali na soko la ajira kwa hawa wasomi unaojigamba nao lipoje??

Hii nchi ipo hoi kwa kila kitu sio kwa sababu ya kuwa na malofa/maauma kwenye uongozi, utumishi au uwakilishi, hapana ni kwa sababu ya maamuzi ya wasomi wengi.

Malofa na maamuma wengi ndio walipa kodi wengi na wajenga nchi.
Isitoshe Mkuu naona hawa jamaa hawajakuzia kugombea, hawajakukosesha kazi au kukukosea jambo lolote!!

Umewakosea sana!

Mkuu acha kutuletea unafiki, chuki, wivu, ubaguzi na usomi wako uchwara hapa!!

Tena ukome kabisa!
Shida sio kusoma,haiba yao sio ya kukalia kiti cha bunge,b7ngeni ni sehemu nyeti
 
hawa vijana wenye vyeti uchwara huwa ni wanyanyapaaji sana kwa watu wasio soma. Ni choyo tu ndicho kinachowatesa, huwa wanaumia sana kumuona mtu amabae hajasoma hiyo elimu yao halafu akawa amewazidi kitu
 
Back
Top Bottom