Hata mwana FAMkojani na babu tale wana utofauti gani😁😁
Hata mwana FAMkojani na babu tale wana utofauti gani😁😁
Unataka kukikosesha chama pesa au? CCM haitegemei tonetone kama ChademaKulinda hadhi ya chama hawa watu wawili hawakupaswa hata kusogelea ofisi ya chama
Ningekuwa muhusika nisingewapa hata fomu,ningewafukuza kama mbwa mwizi
Hao ni sawa na msukuma, kibajaji, Abas Tarimba.mwana FA Akili zao ni sawa na hao na hata Babu TaleKulinda hadhi ya chama hawa watu wawili hawakupaswa hata kusogelea ofisi ya chama
Ningekuwa muhusika nisingewapa hata fomu,ningewafukuza kama mbwa mwizi
KATIBA ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania imeandika sifa za mbunge mojawapo ni kujua kusoma na kuandika.Kulinda hadhi ya chama hawa watu wawili hawakupaswa hata kusogelea ofisi ya chama
Mbili sitoboi 😁😁😁Zitakua 2
Kinachotakiwa kwenye ubunge bahati na pesa mengine ni nyongeza.Hata mwana FA
Bora mkojani mzeeMkojani na babu tale wana utofauti gani😁😁
Hii Nchi yoyote anaweza kuongoza haina kuwekeana mipaka au hadhi fulani😁😁😁😁Bora mkojani mzee
Sio kweli
Kazi isha kuwa ngumu, mtoto wenu kashayakoroga! Hadi Dotto magari kachukua form??? anyway ndo njia ya kukusanya mapato kwa chama lakiniKulinda hadhi ya chama hawa watu wawili hawakupaswa hata kusogelea ofisi ya chama
Ningekuwa muhusika nisingewapa hata fomu,ningewafukuza kama mbwa mwizi
You you circumcise dead bodies?I still repeat
No Man will be buried uncircumcised, as long as I'm still working at the mortuary
Si kama tu anavyofanyiwa Lissu,kwaniCCM wakitaka nini kinashindikana Mwambukusi asinge komaa leo hii asingekuwa Rais wangu wa TLSUnawanyima fomu kwa katiba ipi au sheria ipi jamani tusaidiane