Mkojani na Dotto magari hawakupaswa kupewa fomu

Kulinda hadhi ya chama hawa watu wawili hawakupaswa hata kusogelea ofisi ya chama

Ningekuwa muhusika nisingewapa hata fomu,ningewafukuza kama mbwa mwizi
Mmmh, mkuu uko sawa kweli? Kwani kuchukua fomu Kuna tatizo gani
 
Kulinda hadhi ya chama hawa watu wawili hawakupaswa hata kusogelea ofisi ya chama

Ningekuwa muhusika nisingewapa hata fomu,ningewafukuza kama mbwa mwizi
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…