Mkojani na Dotto magari hawakupaswa kupewa fomu

Shida sio kusoma,haiba yao sio ya kukalia kiti cha bunge,b7ngeni ni sehemu nyeti
 
Form lazimq wapate ila Jina lisirudi, Hujui kuwa Form ni Chanzo cha Mapato
 

hawa vijana wenye vyeti uchwara huwa ni wanyanyapaaji sana kwa watu wasio soma. Ni choyo tu ndicho kinachowatesa, huwa wanaumia sana kumuona mtu amabae hajasoma hiyo elimu yao halafu akawa amewazidi kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…