klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
Kloro unajua kabisa mimi mke wa mtu. .yakikukuta ya kukukuta usinilaumu.
Hahahaha......... unaweza kukuta wakati jamaa linaongea na mkewe huku na lenyewe kuna binti ananyonya sterengo yake ya kumwagia mkojo.... akishakata simu anamwambia, nshaongea na kile kidubwashika kilichokuzibia nafasi yako ya kulala na mimi kijumlajumla...., afu wanaendelea na kazi.Hapa kako kamoja jamaa wanakamega huku kako kwenye simu kanaongea na hazbendi wake. Yaani wajanja wanamchora tu yule hazbendi, halaf kakikata simu kakiulizwa sasa yule nani? kanajibu ndio b w ege wenyewe yule aliekuolea wewe unile.
hehehe natania tu wakuu, mkipata nafasi ya kuwapeleka wake zenu ulaya msiiachie kabisa
hehehe mimi nafkiri ipo haja ya kujitolea kuwasaidia wale ambao waume zao wako mbali ili kuwatunzia ndoa zao. Tutaingiza hii kwenye maoni ya katiba mpya ya MMU. Tumsubirie Mbu na soulmate wake waje kuweka saini. Manake mmu bila mbu na soulmate wake ni sawa na shuhuli ya pwani bila pilau
Ha ha ha haaaa halafu nilikua na mpango wa Kuku-PM! ngoja nitafakari kwanza
Dah greti thinka ana post 5 tu lakini kaja na hasira kweli.Mi nakushauri kwenye pendekezo la kusaidia anzeni na wanaume wenzenu kule segerea wanaogeuzana kwa ukame,
Mi nikimfumania nawafungisha ndoa ya mkeka, afu naongoza mwendo kwenda kwa mkewe nasi tunafunga ndoa. Mambo ya kuua hayalipi. Unaua unawekwa sero, wakware wanaendelea kukugongea mkeo kilainiii.... STUKA.pamoja na kuwa wewe na rejao ni magamba sugu humu ndani, lakini mnatumia uwezo wenu kufikiri. nawapenda some time.
ingekuwa wewe ndo umefumania ungefanya nini as?
kama hawatakumegea, dildo zinahusika kwa mademu, ila kwa wanaume nakataa kuwa watakua wafuasi wa geisha soap, lazma atatafuta mti wa kuung'oa tu!Long distance relationships haziwork asee! Lazima wakumegee tu!!
wewe naweza kumuomba hubby ruksa....niPM tu....
Khaa! Hebu tutajie ID yako ya zamani. Huwezi kuwa na kamba miguuni afu ukanya mapwenti namna hii........ :der:Mi nakushauri kwenye pendekezo la kusaidia anzeni na wanaume wenzenu kule segerea wanaogeuzana kwa ukame,
.....story inaendelea:Yaani watu wangelijua wakaacha huo mchezo jamani! kuna watu hawanaga msamaha.....unapewa ujira wako hapohapo!
Ila sasa...inakuwaje kwa huyo mke mwenyewe aliyezini, ameachwa tu???
Hahahaha......... unaweza kukuta wakati jamaa linaongea na mkewe huku na lenyewe kuna binti ananyonya sterengo yake ya kumwagia mkojo.... akishakata simu anamwambia, nshaongea na kile kidubwashika kilichokuzibia nafasi yako ya kulala na mimi kijumlajumla...., afu wanaendelea na kazi.
Mimi bana mimi naamini mke wangu anakuwa wangu napokuwa nae kitandani. Hata akienda msibani nahisi kuna mjanja atakuwa ananimegea. Ndo maana namimi nikipata nafasi naitumia vizuri....
Fellow tablet umenielewa? Haya niPM namba ya binti aliyeko bongo ambaye mme wake mko naye huko Singapore.
Hahahaha Fellow tablet hebu msome Bishanga hapa chini.... Hivi kidume mwenye akili zako unaenda kumtafunia Mmasai au mkurya mke wake? STUKA!!Unajua hii sredi mpaka sasa fellow tablet tunamwaga mapwenti ya kufa mtu. Mi mwenyewe waifu akinambia I love u nakuwa naguna tu, simjibu wala nini, uskute na yeye yupo humu JF halaf Rejao ndio mwizi wangu, nyambaaf zangu!.
Samtaimu nakuwa najisemea moyoni bora ningetafta waifu kopi ya lucy kibaki tu nikajipa matumaini
.....story inaendelea:
RCO (polisi) Msuya alimtaja marehemu huyo kuwa ni Maungu Mangiri (30) ambaye alifumaniwa na mtuhumiwa mwenye umri wa miaka 35 akiwa na mkewe mtuhumiwa . Mke naye amejeruhiwa baada ya kuchomwa naye kisu cha tumbo na amelazwa katika hospitali ya kiteto.
RCO ametoa wito kwa jamii kutochukua sheria mkononi kwani mtu akifumaniwa zipo taratibu za kisheria za kumshughulikia yakiwemo malipo ya fidia.....
LOL...Utamu huo tuliwekewa pahala pabaya.
Ewaaaa.... cha msingi ni kuiba responsibly, siyo?:third:tuache utani "cha kuiba KITAMUUU"
na anayeiba naye ajue anafanya nini?? acha kabisa!! ni mwendo wa popote na kwenye maji kama swimingpool hivi inanoga zaidi, asikwambie mtu, as u ol knw ile kitu ni vacum, so mwili unakuwa wabaridi, lakini kinu cha motoooooooooo! acha tu tuchomwe visu, tena wavinoe tu!tuache utani "cha kuiba KITAMUUU"