mkome wake za watu!

Bishanga huu uoga umeanza lini?

Yanii tangu E wa T akuache unaweweseka.
 
hehehe halaf kuna ile waifu yuko yurop hazbendi yuko afrika, halaf jamaa kule afrika eti linajipa moyo kwamba waifu wake ni mtakatifu.
heheeh wapi Nyani Ngabu atuwekeee ule wimbo wa babu jinga.
kloro unasema?
halafu juu ya nini unamsifia mbaya wangu?
 
Halaf hii slogan ya mke wa mtu kwako mbona imeanza ghafla? mimi siielewi unajua, nakutaftia muda tu ukuje kunifafanulia. Si umekiona kiangazi kimeanza? sasa beach niende na nani?
kloro!
hujipendi?
 

usimpe hiyo namba tafadhali!
 
Ewaaaa.... cha msingi ni kuiba responsibly, siyo?:third:
Asprin khaaa! ................ siamin kwamba hata wewe na uzee huo unasapoti. Anyway kumbe huwaga unaiba responsibly eeh!
 
Last edited by a moderator:
Asprin, kuiba unresponsbly ni kama chafya mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Halaf hii slogan ya mke wa mtu kwako mbona imeanza ghafla? mimi siielewi unajua, nakutaftia muda tu ukuje kunifafanulia. Si umekiona kiangazi kimeanza? sasa beach niende na nani?

klorokwini muulize Bishanga anajua kila kitu, ndo maana hapo juu kahamaki eti umemtaja mbaya wake.
 
Last edited by a moderator:
kloro!
hujipendi?
bishanga mbona kama una uoga, au joka la kibisa, lenyewe naturally lina ant - vernom!? sem tujue kuwa una ukoo na cameroon, ama la usishtuke ukisikia habari za beach.
 
huyo mwanaume aliyeua hana akili kabisa .............
 
Dah! Hii imenishtua sana. Nilikuwa na mpango na mke wa mtu jioni ya leo lakini nimefuta mpango kabisa huo.
 

duuh! hivi kumbe waume zetu hamtuamini kias hiki? Lol mara nyingi sana huwa namuonea sana huruma mwanamke anayetoka nje ya ndoa yake kwa sababu ya vitu anavyovikosa, ikiwa ni upendo, hela nk. Lakin kamwe simuonei huruma mwanamme anayetoka nje eti kwasababu ni tabia yake.

Unajua tutatetea tu lakin ukweli ni kwamba tabia haina dawa hasa hii ya wanaume kutoka nje. Mwanamke wa mtu maskini kajeruhiwa but naamin kama angekuwa anapata kila alichohitaj asingalitoka nje ya ndoa yake.

Unaona sasa Asprin na @klorokwin mnataka kutumanisha kuwa ninyi mnatoka kwasababu sisi wake zenu tunatoka lakin ukweli ni kwamba mwanamke aliyeolewa akipata anachotaka anaweza kuish maisha yake yote akiwa ana fanya tendo la ndoa na mumewe tu. Hisia za kumdhani mwenzio ni mdhambi ni dhambi sana.

Pia ninyi mnatoka nje kwasababu ya tabia yenu tu na siyo vinginevyo.labda Bishanga utuambie kwanini wanaume wanatoka nje ya ndoa zao.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…