Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,852
Lakini pamoja kujitambua kuwa mna wenyewe iweje mnakubali? Lengo ni nini kuua watu.
ndio msitutongoze sasa.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini pamoja kujitambua kuwa mna wenyewe iweje mnakubali? Lengo ni nini kuua watu.
kwani wewe umeolewa? mimi nakutaka wewe bana, tena ebu do ze nidful, sitanii unajua nina kamuda ka free apo karibuni.Bado wewe klorokwini
Mi nawapa wote pole.:bange:Aliyeuwawa.
Aliyeua anaweza akaishia kukaa jela kidogo tu, Mke wa marehemu kaepushwa na magonjwa. .uzinzi wa mumewe si ajabu na mengine mengi, mke wa muuji bado ana nafasi ya kuendelea kuwa mzinzi hivyo siwezi kumpa pole.
Sisi au tuseme kabisa mimi ndo nlikuwa mganga wa Kinjekitile. Vita ya Majimaji hiyo, hatishiwi mtu nyau....beretta imeshanunuliwa mjue.......
beretta imeshanunuliwa mjue.......
Hahaha tena wewe usijibu kwa PM, unapiga kabisa manina zake.
ndio msitutongoze sasa.....
Zamani za mwizi zilikuwa zinafika arobaini, lakini siku hizi Mungu amezipunguza hadi kumi tu, kutokana na hasira zake kwa madhambi ya wanaadamu yalivyokithiri.Za mwizi hizo. . .na adhabu hapo hapo!!
Pole yake.
mmhhh! speechless!lakini mke wa mtu ni mtamu kuliko wa kwako :happy:
Zamani za mwizi zilikuwa zinafika arobaini, lakini siku hizi Mungu amezipunguza hadi kumi tu, kutokana na hasira zake kwa madhambi ya wanaadamu yalivyokithiri.
Hahahaha..... Nimeipenda hii felow tablet klorokwiniAkipokea hazbendi wake unajifanya opereta unatathmini service za tigo. Mi nikifa juu ya Preta naomba mnipige picha halaf mziweke lile jukwaa letu la bondeni ili kunienzi shujaa wenu.
Njoo tutongozane Preta. kwani kosa kutongozana...kosa ni kusex tu :bounce:ndio msitutongoze sasa.....
Hahahaha..... Nimeipenda hii felow tablet klorokwiniAkipokea hazbendi wake unajifanya opereta unatathmini service za tigo. Mi nikifa juu ya Preta naomba mnipige picha halaf mziweke lile jukwaa letu la bondeni ili kunienzi shujaa wenu.
mie nakamua kwa kwenda mbele.
Basi kabla hawajatoka makwenu muwawekee mabango usoni.
Akijipendekeza, namla kama kawa.
kwa hiyo wote walokufa walitembea na wake za watu.
Kufa hakuepukiki, kupo tu, na siku ikifika hata kama hukuwa na mke wa mtu 'lulu' wako atakufuata ndani usiku wa manane.
Kutiana mauoga tu ili msifaudu maisha, mtajibeba.