mkome wake za watu!

mkome wake za watu!

Aliyeuwawa.

Aliyeua anaweza akaishia kukaa jela kidogo tu, Mke wa marehemu kaepushwa na magonjwa. .uzinzi wa mumewe si ajabu na mengine mengi, mke wa muuji bado ana nafasi ya kuendelea kuwa mzinzi hivyo siwezi kumpa pole.
Mi nawapa wote pole.:bange:
 
Hahaha tena wewe usijibu kwa PM, unapiga kabisa manina zake.

Akipokea hazbendi wake unajifanya opereta unatathmini service za tigo. Mi nikifa juu ya Preta naomba mnipige picha halaf mziweke lile jukwaa letu la bondeni ili kunienzi shujaa wenu.
 
Last edited by a moderator:
ndio msitutongoze sasa.....

Halafu iweje sasa wanaume wakiacha kufanya kazi zao za msingi kabisa? Na wanawake wanaotongoza inakuwa vipi? Mjini shida ni hela....huko vijijini shida ni wivu, ushirikina,kukata taamaa ndo maana unaona mtu anavizia mwezake mpaka anamuua. Inasaidia nini sasa baada ya kuua? Kuzuia uroda kuendelea kukawiwa? Chezea siku za kuishi duniani kwa hasara ya nani??!
 
kwenye ndoa kuna siri usihukumu na utahukumiwa
 
mie nakamua kwa kwenda mbele.

Basi kabla hawajatoka makwenu muwawekee mabango usoni.

Akijipendekeza, namla kama kawa.
 
Za mwizi hizo. . .na adhabu hapo hapo!!

Pole yake.
Zamani za mwizi zilikuwa zinafika arobaini, lakini siku hizi Mungu amezipunguza hadi kumi tu, kutokana na hasira zake kwa madhambi ya wanaadamu yalivyokithiri.
 
kwa hiyo wote walokufa walitembea na wake za watu.

Kufa hakuepukiki, kupo tu, na siku ikifika hata kama hukuwa na mke wa mtu 'lulu' wako atakufuata ndani usiku wa manane.

Kutiana mauoga tu ili msifaudu maisha, mtajibeba.
 
kwani dhambi ni mke au mme wa mtu tu?

Amri ziko 10, sijui wengine na zenyewe je?

Watu wameikuza ya wamme/mke wa mtu ili kulinda interest zao, mie nawala tu.

Dhambi zote 10 zinalingana lol

Zamani za mwizi zilikuwa zinafika arobaini, lakini siku hizi Mungu amezipunguza hadi kumi tu, kutokana na hasira zake kwa madhambi ya wanaadamu yalivyokithiri.
 
Akipokea hazbendi wake unajifanya opereta unatathmini service za tigo. Mi nikifa juu ya Preta naomba mnipige picha halaf mziweke lile jukwaa letu la bondeni ili kunienzi shujaa wenu.
Hahahaha..... Nimeipenda hii felow tablet klorokwini

Ukifa ntaweka bandiko: Here lays our hero! RIP our commander Afu kwa msisitizo kwa faida ya watu wa Tandale namalizia kabisa: Wake za watu wanakumiss sana mpambanaji!
 
Last edited by a moderator:
Akipokea hazbendi wake unajifanya opereta unatathmini service za tigo. Mi nikifa juu ya Preta naomba mnipige picha halaf mziweke lile jukwaa letu la bondeni ili kunienzi shujaa wenu.
Hahahaha..... Nimeipenda hii felow tablet klorokwini

Ukifa ntaweka bandiko: Here lays our hero! RIP our commander Afu kwa msisitizo kwa faida ya watu wa Tandale namalizia kabisa: Wake za watu wanakumiss sana mpambanaji!
 
Last edited by a moderator:
mie nakamua kwa kwenda mbele.

Basi kabla hawajatoka makwenu muwawekee mabango usoni.

Akijipendekeza, namla kama kawa.

We mtoto wa kike huna woga kabisa? Utakula visivyoliwa,....lol!
 
kwa hiyo wote walokufa walitembea na wake za watu.

Kufa hakuepukiki, kupo tu, na siku ikifika hata kama hukuwa na mke wa mtu 'lulu' wako atakufuata ndani usiku wa manane.

Kutiana mauoga tu ili msifaudu maisha, mtajibeba.

hehehe halaf kuna ile waifu yuko yurop hazbendi yuko afrika, halaf jamaa kule afrika eti linajipa moyo kwamba waifu wake ni mtakatifu.
heheeh wapi Nyani Ngabu atuwekeee ule wimbo wa babu jinga.

watu wanafkiri tumepewa zile ndubwana ili tuzibadilishie andawea tu.

tena hii sredi imenipa mzuka wa mke wa mtu kweli, acha nimkonyeze waifu wa jirani hapa out
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom