Trinity
JF-Expert Member
- Jul 20, 2017
- 1,828
- 3,508
Vijana wanawapiga sana,Mstaafu akitaka kufa mapema,anunue chombo Cha moto Kwa ajili ya biashara.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vijana wanawapiga sana,Mstaafu akitaka kufa mapema,anunue chombo Cha moto Kwa ajili ya biashara.
Yeah pesa ziliisha salama 😂We jamaa umenivunja mbavu zangu eti pesa ziliisha salama...hahaha
Kuna mlezi wangu nae anastaafu mwaka huu sasa ana kanafasi nafasi huko kazini kwake, mwaka huu mwanzoni nilipita kumsalimia nikaambiwa hizo habari za kutaka kuingia kwenye ulingo wa siasa kwa kutumia sehemu ya mafao yake, wanae wapambe na mkewe wote wamesimamisha vichwa nikaamini kweli watz tuna akili finyu sasa hao wapambe bora wanatafuta kula sasa hao watoto na mke wameshindwa kweli kumshauri, nikampa maoni yangu na kumtahadharisha juu ya hizo siasa akaitikia km kanigwa mfupa, nasubiri nione itakuwaje, kabla hajastaafu ana mradi mzuri tu hakosi mil 2-3 faida kwa mwezi ni sehemu ndogo tu inahitaji kuuongeza nguvu na atakuwa mbali hicho kipato huenda kikazidi mara mbili au tatu kabisa, ila ndo kupenda sifaaaaHaha kuna mwalimu mmoja alikuwa anapenda nafasi fulani ndani ya chama cha CCM ambayo aliona inamarupurupu mazuri zaidi ya kazi yake ya uwalimu,wanaccm wenzake wakamshauri kuwa kama anataka nafasi hiyo anatakiwa astafu kwa hiyari ili aweze kukitumikia chama angali kijana.
Mwalimu aliomba kustaafu kwa hiyari na kwa kuwa maombi ya kustaafu yalikuwa na mkono wa chama twawala majibu yake na mafao yake hayakuchelewa kutoka.
Na kwakuwa nafasi aliyokuwa anahitaji ilikuwa siyo ya kupewa bure ilikuwa ni ya kugombea na alikuwa ameaminishwa kuwa atapitishwa bila kupingwa,uchaguzi ulipofika alishangaa kuwa hakuwa peke yake kama alivyoahidiwa kuwa hatakuwa na mpinzani atapitishwa bila kupingwa.
Hivyo ilibidi atumie Sera ya CCM ya mkono mtupu haulambwi na toa kitu upate kitu,Siku ya siku mwalimu kaangukia pua,mafao yake yamepigwa na wapambe waliomwaminisha kuwa watampitisha bila kupingwa mpaka sasa hivi mwalimu yuko juu ya mawe kama gari iliyokosa mataili na wenye kumpitisha bila kupingwa nao hawaonekani tena.
Wapo ila wa kuhesabuSijawahi kuona mtu amestaafu alafu kafanya lolote la maana,l don't why🤔
Hutomuambia mtu yeyote na hapa ushasema tayariNiliajiriwa nikiwa nina miaka 23 na nitastaafu nikiwa nina miaka 40.
Hii ndio plan yangu.
Ila nimeifanya siri sanaa, SIKU YA KUONDOKA SITOMWAMBIA YEYOTEE.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Kingine madereva wanajikutaga wanayajua sana magari. Wengi huishia kununua magari mabovu wakijiaminisha watayamudu. Kukuta dereva ana gari ya maana ni kazi sana.Inasikitisha sana. Kuna mmoja jirani yetu ye alistaafu udereva wa malori. Akanunua fuso tandamu hata mimi nilimsapoti sababu najua hajatoka kwenye career yake.
Gari ilipiga tripu mbili tu chali ye mwenyewe majeruhi.
Likaanza kutafuna pesa ya mafao mpaka likakaa sawa. Akampa dereva mana akajihisi yeye age go.
Dere tiripu moja tu tandahimba limeacha njia limeingia maporomokoni limetokq skrepa limeuzwa chuma chakavu na yeye magonjwa nyemelezi yakamuandama mpaka avyopumzika milele.
Unanijua?Hutomuambia mtu yeyote na hapa ushasema tayari
Fixed inalipa ila sio kubwa sana kati ya asilimia 5 mpaka 9 kutegemea na bank, kiwango na muda unaoweka fixed term.Kwa kweli. Biashara ni kama fani nyingine tu. Huyu anajua yule hajui, maisha yanaenda. Shida ni pale kutaka kila mwenye pesa afanye biashara. Mi huwa ninawaza, hivi fixed account inalipa ili kula faida?
Upeo wako wa kufikiri ni mdogo. Huko wanakolipwa mbona wananchi wanaishi maishi mazuri tu. Hujui serikali ya sasa inatumia fedha nyingi kwa mambo ya kifahari na nyingine zinapotea kwenye ufisadi? Tatizo lako umesoma shule za kata na mbaya zaidi hujatembea uone nchi nyingine wanavyoishi.We mjinga nini unataka mtu alipwe pesa inayokaribia mshahara Ili sisi wananchi tuhenyeke yeye awe anapata hela kirahisi tu boya wewe unafikiri hizo hela wanatoa ccm au raia Hali ya chini ndio Kodi zinapelekwa Kwa hao wazee
Ndio maana hata mimi ni muumin wa kikokotoo. OFFAmbayo ukijumlisha miaka 60 ya kustafia anakuwa 72 umri wa kufa kabisa huu lkn pia bado 1/4 ya mshahara wake pension ya kila mwezi. Ata bila kuwekeza kwenye biashara anaweza ku survive yeye na mke wake.
Naamini ni jimbo moja wapo la mwanzaKuna mlezi wangu nae anastaafu mwaka huu sasa ana kanafasi nafasi huko kazini kwake, mwaka huu mwanzoni nilipita kumsalimia nikaambiwa hizo habari za kutaka kuingia kwenye ulingo wa siasa kwa kutumia sehemu ya mafao yake, wanae wapambe na mkewe wote wamesimamisha vichwa nikaamini kweli watz tuna akili finyu sasa hao wapambe bora wanatafuta kula sasa hao watoto na mke wameshindwa kweli kumshauri, nikampa maoni yangu na kumtahadharisha juu ya hizo siasa akaitikia km kanigwa mfupa, nasubiri nione itakuwaje, kabla hajastaafu ana mradi mzuri tu hakosi mil 2-3 faida kwa mwezi ni sehemu ndogo tu inahitaji kuuongeza nguvu na atakuwa mbali hicho kipato huenda kikazidi mara mbili au tatu kabisa, ila ndo kupenda sifaaaa
Halafu bahati mbaya kabisa sehemu anayotaka kuingia mshindani wake ni kijana na yuko vizuri anakubalika ni waziri na kazipurula za kutosha, wajumbe/wapambe sio watu wazuri
Ulaya unafananisha na Africa ambayo wananchi wake asilimia 80% masikini wanatafuta pesa Kwa jasho na damu yaani ulaya mpaka wanapata na pesa za kutoa misaada Africa inamaana maisha ya raia wao ni mazuri sababu pesa zinazoletwa kama misaada ni Kodi za wananchi wa nchi husika hivi unaakili timamu kweliUpeo wako wa kufikiri ni mdogo. Huko wanakolipwa mbona wananchi wanaishi maishi mazuri tu. Hujui serikali ya sasa inatumia fedha nyingi kwa mambo ya kifahari na nyingine zinapotea kwenye ufisadi? Tatizo lako umesoma shule za kata na mbaya zaidi hujatembea uone nchi nyingine wanavyoishi.
Kabla ya kuwa na hela kila mtu anakuwa timamu kama weweNilivyopanga kula pension yangu ni kwamba. Kabla sijastaafu utumishi niwe na viwanja nijenge nyumba yangu na nyumba za kupangisha. My children wawe wamemaliza college hopefully maana nategemea kuwa na watoto wachache sana wawili wananitosha so far. Nastaafu sina wakusomesha. Pension ni hela ya kula sio kufanya biashara.
Watu wa humu mnapenda kuwa watabiri kitu ambacho hamkiwezi, we soma content hayo mengine hayakuhusuNaamini ni jimbo moja wapo la mwanza
650.000/- kwa kila Mwezi kwa uwekezaji wa mil 50 si haba. Ni kama unajilipa mshahara. Nadhani wastaafu wanaopata mafao ya mil 90-100 unawafaa sana hii. Kwa sababu pia huwa wanapata ile penshion ya kila miezi 3; maisha yanaenda kuliko kuishi kwa stressFixed inalipa ila sio kubwa sana kati ya asilimia 5 mpaka 9 kutegemea na bank, kiwango na muda unaoweka fixed term.
Ila pia kuna bond za serikali au mifuko ya uwekezaji kama UTT. Bond za serikali ni option nzuri sana. Kwa 50m unaweza kupata almost 8mil kwa mwaka kama 650,000 kwa mwezi