Mkongwe huyu wa JF mbona anapoteza attention kwa kasi hivi?

Kuna watu mnajua kuamua kujitesa kwakweli....
Ni kweli kwamba ukichukua mda na akili zako kushusha lisred hapa nia ni kupata wasomaji wengi na wachangiaji wa kutosha. Imagine umeshusha nondo zako then huoni hata comment moja, hakuna anayesoma hata mmoja. Lazima roho itasinyaa kidogo.

Au nasema uongo mtaalam wa utam usioisha?[emoji1787][emoji1787]
 
Mwandiko kama wa popoma
 
Amejichabganya na sasa analinywa.

Achana nqye bana. Sisi tupambanie future za wajukuu wa Taifa hili
 
Anyways.......
Hivi hua mnapata wapi muda wa kuangalia nani ana laiki nyingi, nani ameandika nini, nani amekomenti wapi, nani amedisilaiki kwa nani..!!πŸ€—
Hivi hua mnapata wapi muda wa kufuatilia memba wengine kama ni atensheni saka..??πŸ€”
 
Basi si ateseke hata mwenye thread, sasa hapa anaeteseka ni mpenzi mtazamaji 🀣🀣🀣
 
Likes hazina umuhimu sana kwenye maisha yetu kiuchumi lakini huonyesha ni namna gani kile ulichoandika kimegusa watu kwa mitazamo tofauti. Ni kama SI unit ya shukrani kwa ule mchango uliotoa.
Sasa mtu umejipinda kuandika gazeti la kitu muhimu na point kama zote , mategemeo yako huwa kupata mapokeo mazuri na wingi wa michango mbalimbali.
Sasa ikiwa tofauti huwa haipendezi kwakweli ingawa hakina faida / hasara utakayopata.

Tukija kwa members kuna member maarufu na wakongwe, ambao michango yao huwa ina mafunzo, burudani, n.k kitu kinachofanya wawe icon kwenye upande wa field fulani. Kitu kinacholeta heshima mno.

Sasa kuna kipindi aina hii ya member anaweza leta mada/ mchango ukawa unajiuliza " hivi huyu kumbe pia ana akili za hivi?" Au " nini kimempata huyu jamaa?!".
Mi vitu vinatokea kikawaida tu. Sema mtooa mada kama ana chuki hivi kitu ambacho si sahihi hasakwakuwa humu tunatofautiana mitazamo katika jambo fulani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…