FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Mama Samia?Bibi wa Kiarabu.
Tazama raha iliyoje kuongozwa nae? Ma shaa Allah, mlikuwa kama viranga mwaka juzi tu. Leo? Anaesema aseme, anaeenda mahakamani aende, mradi msitukane tu. Siasa ni heshima.
Waarabu wewe utawapata wapi, Waislam wale, wamejaaliwa.